Hivi ndani ya basi kuna wafanyakazi wa aina ngapi?

Hivi ndani ya basi kuna wafanyakazi wa aina ngapi?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Wadau hebu nielimisheni maana kibongo bongo huwa sielewi magari yetu na utaendaji kazi wao

Ukiacha dereva hawa wengine nasikiaga tu kuna tingo, kondakta, tandiboi, mara meneja nk
 
Ideally kuna jamaa wawili wa kukagua ticket ndani hawa huwa ni wasumbufu, kuna konda, kuna dereva na kuna wale wanaitwa "staff"
 
Kimsingi kwa mabasi ya safari ndefu ni madereva wawili, kondakta na mkagua tiketi basi. Ila gari linaamua kuna mengine ndo unakuta wamejazwa madada du wanauza sura nao wapo kazini kwa niaba ya kampuni
 
Back
Top Bottom