Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 2,660 Reaction score 3,501 Oct 25, 2024 #1 Wadau hebu nielimisheni maana kibongo bongo huwa sielewi magari yetu na utaendaji kazi wao Ukiacha dereva hawa wengine nasikiaga tu kuna tingo, kondakta, tandiboi, mara meneja nk
Wadau hebu nielimisheni maana kibongo bongo huwa sielewi magari yetu na utaendaji kazi wao Ukiacha dereva hawa wengine nasikiaga tu kuna tingo, kondakta, tandiboi, mara meneja nk
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Oct 25, 2024 #2 Ideally kuna jamaa wawili wa kukagua ticket ndani hawa huwa ni wasumbufu, kuna konda, kuna dereva na kuna wale wanaitwa "staff"
Ideally kuna jamaa wawili wa kukagua ticket ndani hawa huwa ni wasumbufu, kuna konda, kuna dereva na kuna wale wanaitwa "staff"
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,033 Reaction score 10,622 Oct 25, 2024 #3 Kimsingi kwa mabasi ya safari ndefu ni madereva wawili, kondakta na mkagua tiketi basi. Ila gari linaamua kuna mengine ndo unakuta wamejazwa madada du wanauza sura nao wapo kazini kwa niaba ya kampuni
Kimsingi kwa mabasi ya safari ndefu ni madereva wawili, kondakta na mkagua tiketi basi. Ila gari linaamua kuna mengine ndo unakuta wamejazwa madada du wanauza sura nao wapo kazini kwa niaba ya kampuni