wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nimeona/shughudia mojawapo ya ndege zetu hapa Tanzania ikiwa imepaki na katika kutizama vizuri nikaona chini kwenye tyre wameweka kigogo cha mti ili ndege isirudi/kwenda. Je, maana hizi ndege nazo hazinaga hand break kama gari au zipo ni hii ha ndege yetu ndio tuu haifanyi kazi. Naomba kujuzwa