Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 564
Hii ni salamu kwa Watakatifu wetu Vyombo vyenye Mamlaka, vinavyojua kazi zao vyema na Ambao hawayumbishwi na kelele zetu za Mitandao kuwafundisha kazi.
Tafadhalini Angalieni namna CCTV za wenzetu waliopitwa na wakati zinavyofanya kazi.
Likitokea Tukio lingine Mtafute namna nyingine ya Kuandika Script ya Mambo Barabara ya kutueleza Wananchi Wadangayika, mkumbuke pia kuna watu wazima pia hivyo Bed Stories za watoto mjaribu kuziepuka ili Msiumbuke tena. Au ni Bora kufanya kazi yenu kiumakini kimya kimya. Mkatuletea majibu ya kueleweka.
Sasa kwa Faida yetu, tunaomba tujue aina ya CCTV Kamera za kisasa mlizo nazo zinazotoa picha Clear, Angle Mubashara na kutoa picha na negativu( Natania tu Msipaniki😛😛😛). Ila serious next time tungependa tuone Footage ya Camera kwa uthibitisho au CCTV Camera zetu zinatoa Still pictures tu?