Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu kwenye movie kuna vitu vya uongo vipo hata wao wanazijua Picha za CCTV na baadhi majumbani wanazo shida inakuja kwenye kipande inatakiwa uoneshe Picha ilipigwa Horizontal na kusema imechukuliwa juu kiitifaki na kwa kuwa tupo kwenye kutengeneza Episode 2 inatakiwa ikubalike...Wewe ulielewa pale mhanga anabaki na Siraha za kivita na gari waliomteka wanakimbia yeye anashindwa hata kutumia siraha moja kuwazuru wasio na siraha maana Siraha wameogopa eti kukamatwa nazo wameziacha Gymkhana na gari ile ile tuliyotangaziwa Billion moja...