Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
You too. Usiku mwema!Hahahaha, wenzako wamegundua ukweli wameamua kutoroka. Ulale salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You too. Usiku mwema!Hahahaha, wenzako wamegundua ukweli wameamua kutoroka. Ulale salama.
Ndugu zetu wakenya, ni wazi kwamba pamoja na shida nyingi za kiuchumi zinazoikumba serikali na wananchi wa Kenya, tatizo mama ni kukosekana kwa udhibiti wa uchumi wa Kenya, ambapo watu na makampuni machache yanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya.
Kitendo cha Kuwepo kwa watu wachache wenye nguvu za kiuchumi, kumewafanya wanasiasa wengi kuwa vibaraka wa matajiri na kuifanya serikali ya Kenya kuwa dhahifu sana mbele ya matajiri.
Magufuli amejaribu sana kupambana na hiyo hali kiasi cha kuweza kuongeza uwezo wa serikali ya Tanzania katika kumiliki uchumi wa nchi, hii ndio sababu kubwa ya Tanzania kuongoza Afrika ktk 1)Economic inclusiveness index, na 2) Kupunguza umasikini.
Kujifunza kwa jirani yako mambo mazuri ni ujasiri sio unyonge.
Pole sana ila uchumi wetu ulikua 47bl broh 2014 na mwaka 2018 jana 57 bl na mwaka huu 2019 ni 63bl expected to be 64 bl. Nyie uchumi wenu ni 73bl expected to 78bl. Huo wakupika kufika 99bl sjui 100bl kwa 5% rate mjidanganye wenyew
Nikubali nini wakati Formula unatumia ya St Kayumba! Hizi Shule mnafunzwa nini?
The following equation is used to calculate the GDP: GDP = C + I + G + (X – M) or GDP = private consumption + gross investment + government investment + government spending + (exports – imports).
Iweje nchi zingine zote inakubali lakini ikifika Kenya inakataa?, tena inakata kuanzia 2015 hadi 2018 pekee lakini miaka mingine yote inakubali?, hahahaha
Hii ni simple tu,inatumika kila nchi.Ndio sababu tuko JF tujifunze. View attachment 1232384
Hahahaha, mumeshikika, uongo umedhihirika hamna pa kujificha, haooooooo, wapenda sifa za kijinga.Heheeee!!!unafikiria gdp hutafutwa na formular za st kayumba
Hahahaha, mumeshikika, uongo umedhihirika hamna pa kujificha, haooooooo, wapenda sifa za kijinga.