Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"


Ndiyo maana halisi ya ubepari. Kenya uchumi wake ni kama wa Marekani, tabaka la juu linalojumuisha wasiozidi asilimia 1 wanajodhi uchumi huku tabaka la kati likihangaika nalo kuonyesha kwamba lina uwezo kwa kutumia hela visivyo. Tabaka la chini ndo linawabeba.

Bahati mbaya siyo Kenya bali hata Tanzania hali ni ile ile
 
Kalalamike IMF
Pole sana ila uchumi wetu ulikua 47bl broh 2014 na mwaka 2018 jana 57 bl na mwaka huu 2019 ni 63bl expected to be 64 bl. Nyie uchumi wenu ni 73bl expected to 78bl. Huo wakupika kufika 99bl sjui 100bl kwa 5% rate mjidanganye wenyew
 
Ywapiga hesabu za st kayumba huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heheeee!!!unafikiria gdp hutafutwa na formular za st kayumba
Iweje nchi zingine zote inakubali lakini ikifika Kenya inakataa?, tena inakata kuanzia 2015 hadi 2018 pekee lakini miaka mingine yote inakubali?, hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…