Hivi ndio namna mabinti hushauriana.

Hivi ndio namna mabinti hushauriana.

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Situation One

Marry: Shouger mwenzako V anapitia kipindi kigumu saa hii na hana dalili ya kutoboa leo wala kesho, ingawa anajitahidi kunipa mahitaji madogo madogo ya muhimu na ananijali sana but naona kama kazi kuwa nae.

Joy: Mmmmmmhmn na umevumilia kwakweli. Usikae sehemu ambapo moyo wako umekataa kukaa. Tafuta tu mpango mwingine.

Situation Two

Marry: Shosti mwenzako kazini naona kama stress zinaanza kuniua, mshahara ni mdogo,boss james ananipelekesha hadi muda mwingine natamani kulia, mara anikate mshahara, muda mwingine mshahara nachelewa kulipwa hata miezi miwili inapita, nahisi hii kazi imeshaanza kuwa mtihani kwangu

Joy: Usiseme hivyo kipenzi,vumilia na usije ukaondoka. Yule ni boss wako unatakiwa ujishushe,umtii,uvumilie haswa,hiyo hali unayojisikia ni stress za kawaida sana eneo la kazi. Hata kama mshahara ni mdogo laki 3 ila ndio utapata wapi sasa tena kazi hata ya laki moja huko mtaani hali ngumu. Usije ukaacha shoga.

Moral of this thread:

Mwanamke atamshuri mwanamke mwenzake avumilie na abakie katika kazi ya mshahara kidogo ambao analipwa mwisho wa mwezi tena muda mwingine kwa kurushwa.
Ila atamshuri mwanamke mwenzake aache mahusiano na mwanaume ambaye anajali na pengine kidogo anachompa kila mara ni mara 10 ya huo mshahara anaosubiria kwa siku 30. Atamshauri aachane na mwanaume wake ambaye anapambania kujenga biashara ambayo itakuja kuwa na mapato mazuri sana baadae na wakaishi kwa amani bila stress.
This is how women think.
 
Tamaa zao tuuu.
tuendeelee kutafuta pesa mkuu.
 
Ukielewa hii hoja huwezi piga kura wala kuoa.
😀😀😀 kwenye kupiga kura umenilenga mimi kabisa. Nilipiga kura mara moja katika ule uchaguzi wa mwaka 2010 tena napo ilikua ni ushamba tu wa kupiga kura., kuanzia hapo zimefuata chaguzi zingine mbili na sijawahi kupiga kura.
 
kwa ushauri alioutoa yuko sahihi kwa kuwa mahusiano siyo ajira tofauti na kazi yake, hivyo kuliko kuchepuka ni bora afuate ushauri wa rafiki yake.
 
Situation One

Marry: Shouger mwenzako V anapitia kipindi kigumu saa hii na hana dalili ya kutoboa leo wala kesho, ingawa anajitahidi kunipa mahitaji madogo madogo ya muhimu na ananijali sana but naona kama kazi kuwa nae.

Joy: Mmmmmmhmn na umevumilia kwakweli. Usikae sehemu ambapo moyo wako umekataa kukaa. Tafuta tu mpango mwingine.

Situation Two

Marry: Shosti mwenzako kazini naona kama stress zinaanza kuniua, mshahara ni mdogo,boss james ananipelekesha hadi muda mwingine natamani kulia, mara anikate mshahara, muda mwingine mshahara nachelewa kulipwa hata miezi miwili inapita, nahisi hii kazi imeshaanza kuwa mtihani kwangu

Joy: Usiseme hivyo kipenzi,vumilia na usije ukaondoka. Yule ni boss wako unatakiwa ujishushe,umtii,uvumilie haswa,hiyo hali unayojisikia ni stress za kawaida sana eneo la kazi. Hata kama mshahara ni mdogo laki 3 ila ndio utapata wapi sasa tena kazi hata ya laki moja huko mtaani hali ngumu. Usije ukaacha shoga.

Moral of this thread:

Mwanamke atamshuri mwanamke mwenzake avumilie na abakie katika kazi ya mshahara kidogo ambao analipwa mwisho wa mwezi tena muda mwingine kwa kurushwa.
Ila atamshuri mwanamke mwenzake aache mahusiano na mwanaume ambaye anajali na pengine kidogo anachompa kila mara ni mara 10 ya huo mshahara anaosubiria kwa siku 30. Atamshauri aachane na mwanaume wake ambaye anapambania kujenga biashara ambayo itakuja kuwa na mapato mazuri sana baadae na wakaishi kwa amani bila stress.
This is how women think.
Sawa, kwahiyo uko wapi......
 
As a men normalize, to see women leace to look for green pastures elsewhere, Trust they will come back after realises they becomes green once you water them and it become too late.
 
Back
Top Bottom