wazoefu wa kina DinazardeHeaven on Earth na wengine mje mtamwambie ni miezi mingapi sasa.Hivi warumi aunt alienda lini marekani kutangaza utalii ili tuhesabu siku vizuri
kacheusi mangara kalembo...mh ila angekuwa shoga ake na mwili ulivomtepeta sijui ingekuaje..Aunt ishia hapo hapo usije ukawa ka kina Khloe sijui Khortney wanabrek kamera naked kabisa na mimba ha ha haaa