Hivi ndio tumbo la Aunt Ezekiel linavyoonekana kwa sasa hivi

Hivi ndio tumbo la Aunt Ezekiel linavyoonekana kwa sasa hivi

Huyu demu hata nikimpewa sa hvi najilia bila tatizo nilimpenda nilichelewa kufika mjini!
 
tumbo limeshashuka....itakuwa miezi 8 hivi....
 
mnh!apendeza na mimba yake wala hajachukiza cheusi mang'ara
 
Hiyo mimba mbona ya muda mrefu sana jaman au tumeisikia ikiwa na siku moja..
 
kacheusi mangara kalembo...mh ila angekuwa shoga ake na mwili ulivomtepeta sijui ingekuaje..Aunt ishia hapo hapo usije ukawa ka kina Khloe sijui Khortney wanabrek kamera naked kabisa na mimba ha ha haaa
 
Back
Top Bottom