Hivi ndio vitu pekee vitavyomfanya Diamond Platnumz akimbize Africa nzima

Hivi ndio vitu pekee vitavyomfanya Diamond Platnumz akimbize Africa nzima

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
1.JITIHADA BINAFSI - ili huyu jamaa afanikiwe kuzidi wengine wote basi kitu cha kwanza kabisa itabidi awe na juhudi binafsi na sio hadi aambiwe na mangement yake afanye hiki na kile, itabidi ajue ye ndo ameshikilia uskani management yake ni abiria tu, so jamaa itabidi aongeze juhudi binafsi kwa mfano itabidi awe anatunga nyimbo mbili kila wiki hata ikiwa mibaya nna uhakika kwa mwezi lazma awe na hit moja hii inawezekana kabisa.

2.AWE MAARUFU SANA- JAmaa ni mbunifu ila anategemea ubunifu moja tu kukuza jina lake sote twajua jamaa ni mzee wa skendo za magazeti hana jingine jamaa itabidi awe mbunifu atunge njia nyingine kwa mfano itabidi hata awe anatoa magazines vyuoni na mashuleni tz na nchi za jirani kuhusu yeye ili afahamike

3.HATERS - bila haters jamaa atastarehe sana atajihisi ye ndo basi tena kazi kwisha sio siri haters wakiwa wengi jamaa atakua anajibidisha mno ili akubalike hata mbele ya aters usione kuna watu wanamponda humu ukafkiri wanamchikia wengine basi tu wanamkosoa ili awe better

4.MPINZANI MKALI- Hapa tunzamzaungumzia kijana davido ze mnyama kiukweli huyu dogo ndo inawezekana ndo akawa chanzo cha diamond kujibidisha mno , so kiufupi Diamond akiwa na mpinzani basi nae atajipanga sana mwisho wa siku nae atakua mkali tu
 
Umeongea point inabidi mwenyewe awe ana think beyond ya management na aache skendo na sifa zisizo na msingi ili azidi kukubalika na rika zote na isiwe vijana tu na anapokosolewa sio kwamba hapendwi ule ni ushauri auchukue aufanyie kazi na aogope wasifiaji hata wa upuzi wanaomdaganya yeye ni jembe hapo ajione bado ana safari ndefu sana ili amkute na kumpita akina davido achane na misifa ya watu wengne wanasifia hata pasipo faa ila aongezee juhudi ana safari ndefu alipo fika mi naona bado
 
Back
Top Bottom