Hivi ndio vizazi vya intaneti, mitandao ya kijamii na dijitali

Hivi ndio vizazi vya intaneti, mitandao ya kijamii na dijitali

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!
Kuna kizazi hiki kinaitwa Generation- millennia (Y),hiki ni kizazi kilicho zaliwa 1981-1996,wanasema wameitwa hivyo kwasababu ni kizazibkilichozaliwa katika nyakati za internet,technology,social media na digital.
wanasema hichi kizazi hakiwezi kuishi nje ya haya mambo.

Kizazi kingine ni Gen Z,au generation Z,hichi ni kizazi kilichozaliwa kuanzia 1997 mpska 2013,hichi ni kizazi cha digital.

Hivi vizazi viwili ndio wenyeji ya hayo mambo tajwa hapo juu.

Maana yake Millenian akitawala akawa rais na katika ngazi mbali mbali wataelewana sana na Gez Z na Gen Z akitawa ataelewana sana na millennian.

Changamota unamkuta mtu anayetawala hajatokea kwenye hivi vizazi ni hatari ni lazima akoroge
 
Back
Top Bottom