Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
 
We tahira kweli,unaleta pumba apa unategemea sapoti,LAZIMA UTAKUA FIRST YEAR WEWE
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

Baba yako amejenga vingapi kama hivyo?
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

Wee endelea kuwa Proud na kusoma UD au Mzumbe wakati wenzako wamekamua CBE na financially wamestawi kuliko wewe.
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

Uwezo wako wakufikiri ndio umeishia hapa?? Je wewe ni mwanachuo?? Je kwa uwezo huu nchi itarajie nini kutoka kwako!!?

Muda mwingine leta mada zenye mashiko hapa j.f mada kama hii peleka huko kijuweni kwenu.
 
nimesoma CBE na nimepata ajira nzuri sana nimeacha graduators wa UDSM bado wanatafuta ajira mdogo wangu, elimu ni comitment yako mkuu, kama unasoma soma kweli lakini ukija mtaani utatamani uludi chuo kupokea bum.
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Kwa nini mkisha disco mnaamua kukandia kandia tu? nenda mbarali kashike jaruba la mpunga.
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

K.I.U kiko kwenye kundi gani jamani???
 
Back
Top Bottom