Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Hebu tupe na list ya mambumbumbu tuone, maana ni wazi utakua unaiongoza, yaani hujui hata ikitoka 5 inafuata 6!!??
 
Elimu ni maarifa uliyopata na kubakiwa nayo,si jina la taasisi uliyopitia.
Wapo watu potential ambao wamepitia taasisi ulizozitaja kama "vyuo vya kata" na wana msaada mkubwa kwa taifa hili kuliko hata wale wa vyuo ambavyo hukutaja hadhi yake,tuviite "vyuo vya tarafa na wilaya" kwa mujibu wa tafsiri yako.
Naamini ukikuwa utayaelewa ninayoyasema hapa.
 
Unakuta chuo kama SAUT LL,B wanachukua mpaka iii.17 jamani huu ni ujinga mtupu halafu eti unakuta ana G.P.A ya 4.5 duh hii ni hatari chunguzeni wengi wenye three chafu wapo saut,university of arusha,ruco,,mwenge,teku huko ndo wamejaa

Wewe mtihani wa form six ulibahatisha nin?
 

muke ya muyahudi soma post yangu #134 utaona niliyohoji juu ya mleta Uzi! Duh...Muke..muke..muke...ya nani???.....Ila wayahudi wapo very bright kasoro wewe tu!!!hahaaa...yaani sijaingia JF mida sana, ila nimekutana na post zako...nikipata time ya kutosha nitajaribu kukujibu...!! Mimi sina haja ya kujua taaluma yako, bali maandishi yako tu yanatosha kunipa majibu kuwa proffesion yako ni .....
 

Hauna cha kunijibu and that's why umechukua mda saana kuwazua cha kujibu..poor naive jamanii..na bado umekuja na pumba..ockay sawa endelea kujipanga you might come out with a better thinking next time...kwakwakweeeh
 

Tna huyo Mr Wangu alivyokuuma cz ukosi kumgusia lol thought you are my fellow woman kusikia married to muyahudi ushuz wakutoka...kumbe Dume!!!..lol stop wasting your time wayahudi watu takatifu hapana endekeza mapenz ya jinsia moja eeh !..try else where!!!
 

...nahisi ambavyo haujavitaja ndo vya kata, vinginevyo umetumwa na TCU, maana lengo la TCU kuanzisha zoezi la kuchagulia wanafunzi kuwa waende vyuo gani lilikuwa ni kudidimiza vyuo binafsi naa kujaza wanafunzi kwenye vyuo vya kata ambavyo haujavitaja.
 
Chuo kuwa kata unaangalia huduma inayotolewa chuoni kama inakidhi ama la!
Hatuangalii iq ya wanafunzi wanaoenda chuo hicho
 

you are so narrow minded, umekuwa t.c.u ww?
 
nijuavyo mimi ukiwa na EE&S form six wawezasoma chuo chochote ila wawezakosa nafasi kutokana na cimpetition
 
Hauna cha kunijibu and that's why umechukua mda saana kuwazua cha kujibu..poor naive jamanii..na bado umekuja na pumba..ockay sawa endelea kujipanga you might come out with a better thinking next time...kwakwakweeeh

:shock: sasa wewe kwa uandishi huu kweli...duh..unachafua image ya chuo chetu! Hivi kuna chakijibu hapo? hahaaa...kuwazua opaqueness? udbs ????uwiii...certificate ya ujasiriamali ...!!!!!tobaaa..sio kila mtu hana kazi ya kufanya kama wewe! unakalia chat tu Jf ..fanya kazi Binti..usingoje kuolewa tuu!! :redface:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…