Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Aliyeweka mada ni moja ya watu wapuuzi ambae hajawah kuingia chuo chochote. Hatujawah kupata status za kijinga toka kwa wasomi
 
Wewe hicho Chuo chako ulichosoma kimekusaidia nini?? Kwa ujumla Elimu ya Tanzania ni majanga tu kuanzia chini mpaka juu,,hamna penye uafadhali!!
 
CHA AJABU HATA HICHO CHA KATA HUJAPATA NAFASI YA KWENDA.....Amka na ubadilike kifikra kushakucha wenzio wako bench wanasubiria kupata kibarua....
 

Kwanza nikupe pole cz hapa unajodharilisha tuu ulivyo dull upstairs.. yaani ata tahira atakujua kuwa hujasoma ud weweeh ulikosa hyo fursa of course u don't fit that profile..na ndio maana una hasiraa nacho eti Chuo chenu ...kwekwekweeh spare my lungs you idiot..haujui hata hadhi ya kuwa Mrs..no I guess unajua sema kama kawaida yako umekosa fursa mishavu inakuvimbaa...akuoe nani bogus weweee..haujawah hata kugusa ud wewe umechekesha wengi trust me!!haujui ata what udbs does??...aliekuzaa kaipata!!!so sad..mhh
 

Etii..poor understanding ability sasa naanza kuelewa tulipotofautiana..kumbe ata uelewa wako sifuri..maskini sasa unakasirika nini?wewe ud si ungedisco first week..maana isingehitajika course work kuthibitisha umbumbumbu wako..lol..anyway ngja nijaribu kukusaidia a bit.ni hivi rafiki,,mtu akisha kuwa muke ya mtu that means ameshaolewa na sio tena kungoja kuolewa umeelewa ehh??kwakwakwaah...kama kawaida yako muyahudi anakutoa ja.mba ,ja.mbaa..dah..Kwa umbumbumbu huo jaman utanunia vyuo na wanawake wote waliotoka kiskul na walio olewa pa kueleweka...toa toa povu mpaka ukaukee...u don't fit our profile mamaa
 

Jalibu kuja na vigezo
 
nyie mnaokaa kuzungumzia vyuo wakati hakuna kinacho fanyika,,.,.,>,....ILA SI BADO MNAKUA, MTA ELEWA TU
 
Elewa mada wewe! Kuwa boss sio ukosawa kichwani na kama ulipigwa 0713--- au ulivua chupi tunajuaje? Tunaongelea real competency ya kudeliver.

kwa jinsi unavyo comment zako ni wazi kua unahitaji ukombozi
 
Mi nimesoma Arusha coz ADA, nimekaa miezi minne nikapata kazi, nimefanya sitting mbili tu nikapata CPA. Kuna watu wako kwenye vyuo mnavyovisifia hata kutengeneza Balance sheet hawajui na wanafanya mitihani ya NBAA mpaka wameshazoeleka pale Bodi hawatoki.
 
Hapa vyuo bomba ni OUT na UDSM basi!

Tatzo mtoa mada uwezo mdogo : tatzo ni up mbukeni mie nmesoma hvyo vyuo unavyodhani sio vya kama but kuna watu walichaguliwa name div 1 & 2 BT walionekana vilaza sn nikahis kumbe wanabahatisha tur
 

...........basi sawa,mkutane kwenye interview kisha mmpambane atayeshinda ndo tunamuajiri....
 
vyuo vyote nchini wanapangwa na tcu 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS, udsm, udom,sua, ifm, mum, nk
 
Aah shyja mbna nawajua wengi wapo sauti na hzo div mchwaraa?au wameanza this year kuweka hzo cut points za juu mkuu?
nilichunguza nusu. ni kwamba watu wa education ndio hakuna wenye div 3 mchwara. ila honestly kwa faculty zingine wapo. kwa edn labda kama alianzia mafunzo ya awali au alisoma certificate/diploma ndio wanaochukuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…