Hivi ndivyo Ali Kiba na Saut Sol walivyo perform tuzo za Mtv

Hii sasa ndo show ambayo unaweza lipa kiingilia ukaenda ona...live band...siyo unapiga playback
Hizi ndo show ambazo 98% ya wasanii hawaziwez kwa sababu yakubebwa na vyombo vya music...yaan unasikia sauti hapo ya hao jamaa ni sawa sawa na ile ambayo waliimba wakat wanarecord...nimeamini kwa nini wanasema kiba huwa anajua kuimba sana...hii sasa nimeamini
 
Aliimba wimbo gani
 
Hujanijibu swali kwa nn hakuimba wimbo wake au aliogopa audience akaomba back up kutoka sauti Sol

Hajaonyesha ubora wake angeimba wimbo wake
Sidhani kama aliogopa audience, pengine labda ni suala la management back stage
 
Nmejaribu kufikiria,,,hivi diamond akiambiwa aimbe live kile kipande cha "and i beleeeeeve",,,,nadhani hapa ndo factor of widening gap between ally kiba and diamond huanzia,,,kiba ana vocal la hatar mara miaaaaaaa
 
Kwa kweli Kiba ana sauti safi sana. Haibadiliki na haichuji anaweza kuidhibiti. Tatizo ni kwenye kuucheza muziki. Akifanikiwa katika kucheza, ataikamata dunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…