Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Yaani vyombo Tofauti vimeelekezwa kuandika vile ambavyo mlipaji anataka.
Poor Tanzania!
Poor Tanzania!
Dah nchi ya kifara sanampaka magazeti yana muongozo na nyumba za ibada tunasubiria ilan ya CCM kabla kusema mungu tunasema samia mitano tena na mtoto wako kepenzi abdul.
Is it coincidence au ni mpango mkakati...?Yaani vyombo Tofauti vimeelekezwa kuandika vile ambavyo mlipaji anataka.
Poor Tanzania!
View attachment 3354803View attachment 3354804
DaaahHivi bado kuna watu wanahangaika na kusoma magazeti hadi sasa?
Tena magazeti yenyewe ya machawa matupu hakuna habari ambazo ni balanced badala yake zimeegemea upande mmoja tu wa kusifu na kuabudu kama tupo mbinguni.
Noma sanaUkiwa kwenye sekta ya habari utawaelewa Hawa watu. Wenye vyombo vya habari mara nyingi wenyewe ndiyo huelekeza nini cha kuandikwa/kutangazwa,
Hakuna namna!Noma sana
Balile na Msigwa ndio wanahariri.Labda mmiliki ni mtu mmoja au mhariri mkuu ni mmoja kwa magazeti yote .nje ya hapo na wao ni kenge tu kama sisi wasomaji.