Hivi ndivyo Bob marley alivyogundua bangi

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Akiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,

Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea Sinsiminia indica wanaruka ruka juu na kupigana sana

Akaamua siku moja aonje kusikia nini hasa kipo kwa mmea ule, alivyokula alijawa furaha akaamua avune majani mengine apeleke home , bahat mbaya yalikauka akakasirika , akaamua kuyatafna hivi hivi hapo akapata stimu kali mnooo,
Akaamua kuwa anayafuata anakausha yakichelewa anayakaanga Au kubanika , akaanza kuyavuta kama sigara,

Na uo ndo ulikuwa mwanzo wa bangi. 1961
 
bangi imeanza kuvutwa zaidi ya miaka 2727 BC Huko china ndio record ya harakaharaka iliyopo.
warumi,wagiriki enzi zao nao walikuwa na bangi kabla hata mimba ya Yesu kutungwa miaka mingi.

bob Marley katumia kitu kilichopo kilichojulikana hizo ni stori za kusukuma dakika mkuu.
 
Mange ndio kasema?

Mpheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew.
 
Wewe hujui zaidi ya kusoma vitabu au tafiti mbalimbali. Bangi ni mmea na hivyo basi jamii nyingi sehemu tafauti duniani zimekuwa zikiutumia kwa matumizi mbalimbali.
Hata hapa Tanzania ukikaa na wazee watakueleza ni jinsi gani walipata mshtuko kusikia bangi ni haramu na ni kosa la kupelekea kufungwa jela.
 
Bangi ilikuwepo longtime kabla Bob hajui chochote.tafuta MTU anaitwa Negusta Negasta,huyu aliijua bangi kabla Bob hata ajazaliwa.
 
huyo jamaa anachanganya hiyo stori sio ya bob marley ni mfalme wa ethiopia nadhani au jamaa mmoja wa ethiopia alipogundua kahawa .
 
Bange sio mbaya ila moshi wake ndo mbaya. So mtoa post usilete post za kitoto humu ukidhani kuna watu hawafikirii
 
Kwa taarifa yako bangi mjanai wake ni mboga watu wanachemsha wanakula na ugali na hawalewi
 
umevuta misokoto mingapi kabla ya kupost....kwel wewe kizazi cha mwendo-bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…