Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
aseeh!!!...sawa bana😀To stop marijuana is like to say GOD was made a mistake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aseeh!!!...sawa bana😀To stop marijuana is like to say GOD was made a mistake.
aisee.....!!! nawe unaleta hapa kabisaAkiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,
Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea Sinsiminia indica wanaruka ruka juu na kupigana sana
Akaamua siku moja aonje kusikia nini hasa kipo kwa mmea ule, alivyokula alijawa furaha akaamua avune majani mengine apeleke home , bahat mbaya yalikauka akakasirika , akaamua kuyatafna hivi hivi hapo akapata stimu kali mnooo,
Akaamua kuwa anayafuata anakausha yakichelewa anayakaanga Au kubanika , akaanza kuyavuta kama sigara,
Na uo ndo ulikuwa mwanzo wa bangi. 1961
YesWewe hujui zaidi ya kusoma vitabu au tafiti mbalimbali. Bangi ni mmea na hivyo basi jamii nyingi sehemu tafauti duniani zimekuwa zikiutumia kwa matumizi mbalimbali.
Hata hapa Tanzania ukikaa na wazee watakueleza ni jinsi gani walipata mshtuko kusikia bangi ni haramu na ni kosa la kupelekea kufungwa jela.
Akiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,
Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea Sinsiminia indica wanaruka ruka juu na kupigana sana
Akaamua siku moja aonje kusikia nini hasa kipo kwa mmea ule, alivyokula alijawa furaha akaamua avune majani mengine apeleke home , bahat mbaya yalikauka akakasirika , akaamua kuyatafna hivi hivi hapo akapata stimu kali mnooo,
Akaamua kuwa anayafuata anakausha yakichelewa anayakaanga Au kubanika , akaanza kuyavuta kama sigara,
Na uo ndo ulikuwa mwanzo wa bangi. 1961
Asante kwakunifahamisha kuwa kumbe Bob Marley ndio mgunduzi wa bangeAkiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,
Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea Sinsiminia indica wanaruka ruka juu na kupigana sana
Akaamua siku moja aonje kusikia nini hasa kipo kwa mmea ule, alivyokula alijawa furaha akaamua avune majani mengine apeleke home , bahat mbaya yalikauka akakasirika , akaamua kuyatafna hivi hivi hapo akapata stimu kali mnooo,
Akaamua kuwa anayafuata anakausha yakichelewa anayakaanga Au kubanika , akaanza kuyavuta kama sigara,
Na uo ndo ulikuwa mwanzo wa bangi. 1961
Unagoogle na kuleta.hapaThe first direct reference to a cannabis product as a psychoactive agent dates from 2737 BC, in the writings of the Chinese emperor Shen Nung. The focus was on its powers as a medication for rheumatism, gout, malaria, and oddly enough, absent-mindedness. Mention was made of the intoxicating properties, but the medicinal value was considered more important. In India though it was clearly used recreationally. The Muslims too used it recreationally for alcohol consumption was banned by the Koran. It was the Muslims who introduced hashish, whose popularity spread quickly throughout 12th century Persia (Iran) and North Africa.
Marijuana in America
In 1545 the Spanish brought marijunana to the New World. The English introduced it in Jamestown in 1611 where it became a major commercial crop alongside tobacco and was grown as a source of fiber.
By 1890, hemp had been replaced by cotton as a major cash crop in southern states. Some patent medicines during this era contained marijuana, but it was a small percentage compared to the number containing opium or cocaine. It was in the 1920’s that marijuana began to catch on. Some historians say its emergence was brought about by Prohibition. Its recreational use was restricted to jazz musicians and people in show business. “Reefer songs” became the rage of the jazz world. Marijuana clubs, called tea pads, sprang up in every major city. These marijuana establishments were tolerated by the authorities because marijuana was not illegal and patrons showed no evidence of making a nuisance of themselves or disturbing the community. Marijuana was not considered a social threat.
Marijuana was listed in the United States Pharmacopeia from 1850 until 1942 and was prescribed for various conditions including labor pains, nausea, and rheumatism. Its use as an intoxicant was also commonplace from the 1850s to the 1930s. A campaign conducted in the 1930s by the U.S. Federal Bureau of Narcotics (now the Bureau of Narcotics and Dangerous Drugs) sought to portray marijuana as a powerful, addicting substance that would lead users into narcotics addiction. It is still considered a “gateway” drug by some authorities. In the 1950s it was an accessory of the beat generation; in the 1960s it was used by college students and “hippies” and became a symbol of rebellion against authority.
SOURCE:Narconon | Drug Rehabilitation | Drug Education
Babu yangu alikuwa anavuta bangi kwa mfumo wa kuiweka kwenye kibuyu, maji katikati na mrija(Njemu ya ngw'ikuru). Haya aliyafanya Zamani hata Tanzania haijapata uhuru.Akiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,
Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea Sinsiminia indica wanaruka ruka juu na kupigana sana
Akaamua siku moja aonje kusikia nini hasa kipo kwa mmea ule, alivyokula alijawa furaha akaamua avune majani mengine apeleke home , bahat mbaya yalikauka akakasirika , akaamua kuyatafna hivi hivi hapo akapata stimu kali mnooo,
Akaamua kuwa anayafuata anakausha yakichelewa anayakaanga Au kubanika , akaanza kuyavuta kama sigara,
Na uo ndo ulikuwa mwanzo wa bangi. 1961
Mkuu,nielekeze namna ya kujiunga kwenye jukwaa la wakubwa!Mange ndio kasema?
Mpheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew.
bangi imeanza kuvutwa zaidi ya miaka 2727 BC Huko china ndio record ya harakaharaka iliyopo.
warumi,wagiriki enzi zao nao walikuwa na bangi kabla hata mimba ya Yesu kutungwa miaka mingi.
bob Marley katumia kitu kilichopo kilichojulikana hizo ni stori za kusukuma dakika mkuu.
Jukwaa pekee ambalo lina mambo sirias ni jukwaa la mambo ya kikubwa tu, huku kwengine ni komedi, masikhara na uongo wa wazi wazi.
Ishakua shida.