Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa nchini Nigeria

Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa nchini Nigeria

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini Nigeria
1732369034494.jpg
, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.

Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu .
 
Ukiwa maskini unakuwa automatically unawachukia matajiri au wale walokuzidi kipato. Sijui ni kwanini. Kutafuta pesa Kuna changamoto nyingi wengine hawalali miezi ni kazi tu. Wengine hata kula wanasahau kisa wapo chimbo kuzisaka fedha ila wakizipata unawaletea kejeli na chuki. Nb.
Utajiri sio dhambi ukiwa na nguvu tafuta sana fedha mkuu ulieandika Uzi huu.
 
Back
Top Bottom