Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa nchini Nigeria

Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini NigeriaView attachment 3159655, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.

Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu .
It's normal thing, utende mema, mabaya,Uwe mtakatifu kama Nyerere, au Mandela, au, katili kama Idi a mini, au Adolf Hitler, utakufa tu
 
Kwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo

Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Masikini wengi wana natural hate na watu waliofanikiwa. And vile hawawezi washusha basi kifo tu ndo level yao, as if wao hawafi
 
Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini NigeriaView attachment 3159655, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.

Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu .
Watakwambia Pesa ni kila kitu
 
Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini NigeriaView attachment 3159655, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.

Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu.
Kifo cha maskini na tajiri haviendani hata siku moja. Jitahidi sana kuwa na uchumi mzuri, usione wote tunaingia kwenye jeneza ukahisi hakuna tofauti ya tajiri na maskini mwenzako akiwa duniani kapambana na at least akiwa kajipangana vizuri anaacha future kwa uzao wake.

Kwenye ushauri wa kuishi na watu vizuri ni muhimu.

Ila usitumie tukio la kifo cha huyo jamaa kama excuse. Pambana kwenye utafutaji. Pesa haichagui uende kwa nani ni jinsi unavyojikita kuitafuta vyema.
 
Mbona mnawaza sana wafu.... Tafuta hela, uishi. Ukishakufa yatakayotokea hayatakuhusu
 
Kwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo

Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Aisee ufukara ni kitu kibaya sana. Hapo msela baada ya kuandika hii thread amejisikia ana furaha kweli kweli japo hajui kesho atakula nini au ana madeni luluki. Sioni mantiki kabisa ya hii thread kwa sababu kwanza maskini ndiyo tunakufa kwa wingi.
 
kazi haziishi, pesa hazijai. hata kama nitakufa, Mungu nisaidie niwe tajiri. umasikini ni fedheha, ugonjwa mbaya wenye nuksi na mkosi.
 
Mbona mnawaza sana wafu.... Tafuta hela, uishi. Ukishakufa yatakayotokea hayatakuhusu
Mkuu hili tatizo lipo sana sehemu yenye umaskini uliotopea. Unakuta watu wanapata furaha ya ajabu na kuliwazika wanapoona mtu mwenye fedha kafariki. Utadhani hizo fedha alizoacha automatically zinahamia kwao. Nilishaandika hapa siku moja tulikuwa tumekaa kijiweni, akapita kibopa fulani wa mtaani na ranger rover yake mpya kila mtu aliyekuwa amekaa kijiweni akajisikia unyonge. Lakini mzee mmoja alipokumbushia kuwa ''kila nafsi itaonja mauti'' bila kujali utajiri, watu wote waliokaa pale wakajisikia furaha. Ubongo wa binadamu ni complex sana na hii ni njia ya kijiliza pale unapoumia kwa kuona mafanikio ya wengine huku wewe unasota kwa kuuza mafungu ya karanga.
 
Aisee ufukara ni kitu kibaya sana. Hapo msela baada ya kuandika hii thread amejisikia ana furaha kweli kweli japo hajui kesho atakula nini au ana madeni luluki. Sioni mantiki kabisa ya hii thread kwa sababu kwanza maskini ndiyo tunakufa kwa wingi.
Sisi tu kwa wingi bali tunakufa kwa mateso sana

Bila faraja na tunawachia ndugu huzuni sana
 
Mleta uzi ww ni mjinga wa mwisho ni dhahiri shahidi hujui kwamba kifo ni mapito ambayo kila chenye pumzi kitapitia hali hiyo.

Huyo mwamba kafa ila kama ni bata amekula la kutosha kama ni wnawake amewafanya atakavyo. Acha roho za kichawi kukaa kufurahia kifo cha matajiri na waliokuzidi ati kama faraja kwako.

Wewe na maskini wenzako mtakufa na mtaondoka hapa dubiani hujaenjoy na wala huko mnakojifariji mtafufuliwa, kamwe mtaendelea kuota ndoto mpaka makaburini na zisitimie.

Mtu Kama umewahi kuishi karibu na watu maskini utakuwa umepata experience nzuri sana jinsi hawa viumbe walivyo na roho za ajabu kiasi kwamba mm nawachukia sana, hawa maskini siwasimangi ila ndugu zangu tupambane tupate elimu,exposure na pesa hivi vitu vitatu vitakusaidia kuwa kiumbe mwenye ustaarabu wa kati mpaka wa juu katika nyanja mbalimbali za kimaisha.

Tusiishie kutafuta hela pekee, tupate na elimu na tusafiri kutembelea huko duniani.Maana pesa bila maarifa ni hatari hata zaidi ya umaskini wenyewe.

#Umaskini ni uchawi,,tuungane kuupiga vita!!!
 
Mkuu hili tatizo lipo sana sehemu yenye umaskini uliotopea. Unakuta watu wanapata furaha ya ajabu na kuliwazika wanapoona mtu mwenye fedha kafariki. Utadhani hizo fedha alizoacha automatically zinahamia kwao. Nilishaandika hapa siku moja tulikuwa tumekaa kijiweni, akapita kibopa fulani wa mtaani na ranger rover yake mpya kila mtu aliyekuwa amekaa kijiweni akajisikia unyonge. Lakini mzee mmoja alipokumbushia kuwa ''kila nafsi itaonja mauti'' bila kujali utajiri, watu wote waliokaa pale wakajisikia furaha. Ubongo wa binadamu ni complex sana na hii ni njia ya kijiliza pale unapoumia kwa kuona mafanikio ya wengine huku wewe unasota kwa kuuza mafungu ya karanga.
Mtu anamsema marehemu aliyekufa kwenye nchi ambayo yeye hata nauli ya kwenda huko hana....

Jamaa aliishi maisha yake kwa ukamilifu... tupambane na yetu
 
Back
Top Bottom