Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Utafikiri anamsimanga kwa kosa lake fulani lililosababisha kifo chake. Au angeeleza sababu na kisa cha kifo chakeKwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Kifo hakina kisa mjomba wakati ikifika basi unakufaUtafikiri anamsimanga kwa kosa lake fulani lililosababisha kifo chake. Au angeeleza sababu na kisa cha kifo chake
Sawa. Ila maskini anayepepeta mahindi mashineni kupata kopo la unga na tajiri kama bil gate au Elon Musk, wote wanakufa na hawarudii tena. Hakuna mshangao hapo.Kifo hakina kisa mjomba wakati ikifika basi unakufa
Huyu anamsimanga sababu alikuwa tajiri wa mafuta
Sawa Mungu ulie umba vilivyomo apa dunianiKwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Asante Kwa kuelewa big point YANGU👏🏾Anatukumbusha tuache nyodo na majivuno hapa duniani
Cc. Bashite
Na huu ndio ukweliKwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Atateseka duniani na bado atakufa kwa mbindeKwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
mwambie atakufa tu hata akiwa masikini...Kwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana