JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
It's normal thing, utende mema, mabaya,Uwe mtakatifu kama Nyerere, au Mandela, au, katili kama Idi a mini, au Adolf Hitler, utakufa tuHivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini NigeriaView attachment 3159655, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.
Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu .
Masikini wengi wana natural hate na watu waliofanikiwa. And vile hawawezi washusha basi kifo tu ndo level yao, as if wao hawafiKwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Sentensi inanichoma kwa mtima.Kila nafsi itaonja umauti
Watakwambia Pesa ni kila kituHivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini NigeriaView attachment 3159655, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.
Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu .
Si ndioWatakwambia Pesa ni kila kitu
Kifo cha maskini na tajiri haviendani hata siku moja. Jitahidi sana kuwa na uchumi mzuri, usione wote tunaingia kwenye jeneza ukahisi hakuna tofauti ya tajiri na maskini mwenzako akiwa duniani kapambana na at least akiwa kajipangana vizuri anaacha future kwa uzao wake.Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini NigeriaView attachment 3159655, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo kwenye Ndege.
Funzo
Tukumbuke kuishi na watu vyema tukiwa hai,haijalishi upo levo Gani ya maisha,mana hatuijui kesho yetu.
Aisee ufukara ni kitu kibaya sana. Hapo msela baada ya kuandika hii thread amejisikia ana furaha kweli kweli japo hajui kesho atakula nini au ana madeni luluki. Sioni mantiki kabisa ya hii thread kwa sababu kwanza maskini ndiyo tunakufa kwa wingi.Kwahiyo una mcheka au nini yaan utazan wewe masikin hautakufa na roho yako mbaya hiyo
Nakwambiaje utakufa tena kwa tabu sana
Mkuu hili tatizo lipo sana sehemu yenye umaskini uliotopea. Unakuta watu wanapata furaha ya ajabu na kuliwazika wanapoona mtu mwenye fedha kafariki. Utadhani hizo fedha alizoacha automatically zinahamia kwao. Nilishaandika hapa siku moja tulikuwa tumekaa kijiweni, akapita kibopa fulani wa mtaani na ranger rover yake mpya kila mtu aliyekuwa amekaa kijiweni akajisikia unyonge. Lakini mzee mmoja alipokumbushia kuwa ''kila nafsi itaonja mauti'' bila kujali utajiri, watu wote waliokaa pale wakajisikia furaha. Ubongo wa binadamu ni complex sana na hii ni njia ya kijiliza pale unapoumia kwa kuona mafanikio ya wengine huku wewe unasota kwa kuuza mafungu ya karanga.Mbona mnawaza sana wafu.... Tafuta hela, uishi. Ukishakufa yatakayotokea hayatakuhusu
Sisi tu kwa wingi bali tunakufa kwa mateso sanaAisee ufukara ni kitu kibaya sana. Hapo msela baada ya kuandika hii thread amejisikia ana furaha kweli kweli japo hajui kesho atakula nini au ana madeni luluki. Sioni mantiki kabisa ya hii thread kwa sababu kwanza maskini ndiyo tunakufa kwa wingi.
Msameheni. Ni chuki kwa walichonacho na watanzania wengi tuna hii tabia. Ndiyo maana Magufuli anakumbukwa sana kwa kuwakomesha matajiri.Kwa hio angekuwa masikini angerudishwa kwenye first class?
Mtu anamsema marehemu aliyekufa kwenye nchi ambayo yeye hata nauli ya kwenda huko hana....Mkuu hili tatizo lipo sana sehemu yenye umaskini uliotopea. Unakuta watu wanapata furaha ya ajabu na kuliwazika wanapoona mtu mwenye fedha kafariki. Utadhani hizo fedha alizoacha automatically zinahamia kwao. Nilishaandika hapa siku moja tulikuwa tumekaa kijiweni, akapita kibopa fulani wa mtaani na ranger rover yake mpya kila mtu aliyekuwa amekaa kijiweni akajisikia unyonge. Lakini mzee mmoja alipokumbushia kuwa ''kila nafsi itaonja mauti'' bila kujali utajiri, watu wote waliokaa pale wakajisikia furaha. Ubongo wa binadamu ni complex sana na hii ni njia ya kijiliza pale unapoumia kwa kuona mafanikio ya wengine huku wewe unasota kwa kuuza mafungu ya karanga.