Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa sababu ya kutojaza inayoitwa fomu ya maadili ni uvinjifu wa haki ya kikatiba kisha mahakama kupitia jaji mmojawapo itakubaliana na hilo shauri na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi.
#NoReformsNoElexction.
#NoReformsNoElexction.