Kwahiyo wakisharudishwa Kailima atatia sahihi kwa niaba yao?Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa sababu ya kutojaza inayoitwa fomu ya maadili ni uvinjifu wa haki ya kikatiba kisha mahakama kupitia jaji mmojawapo itakubaliana na hilo shauri na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi.
#NoReformsNoElexction.
TADEA,Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa sababu ya kutojaza inayoitwa fomu ya maadili ni uvinjifu wa haki ya kikatiba kisha mahakama kupitia jaji mmojawapo itakubaliana na hilo shauri na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi.
#NoReformsNoElexction.
Mimi nitatafuta wakili nifungue kesi .Ni Sheria Gani imetumika kuwarudisha CHADEMAAtaibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa sababu ya kutojaza inayoitwa fomu ya maadili ni uvinjifu wa haki ya kikatiba kisha mahakama kupitia jaji mmojawapo itakubaliana na hilo shauri na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi.
#NoReformsNoElexction.
wewe dada songa mbele,kwani nini kimeharibika?Ni kama chadema bado hamjui mnataka nini. Mmesusia uchaguzi basi ndio imetoka hiyo.
Kuwa na adabu basiNi kama chadema bado hamjui mnataka nini. Mmesusia uchaguzi basi ndio imetoka hiyo.
Ivi hivi vyama utitili mbona huwa vinajitokeza wakati wa uchaguzi,na wakiishatoka uwanjani kuapisha rais huwa hatuwaoni hadi miaka mitano ipite tena.TADEA,
ADC,
CCK,
CCM,
CHAUMA,
CUF,
MAKINI,
DP,
NCCR-Mageuzi,
NLD,
NRA
, SAU,
TLP,
UDP, UMD
na UPDP.