Hivi Ndivyo Emiliano Sala alivyotumbukia na ndege yake kwenye bwawa la kemikali!

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
emilianosala2201b-683x1024.jpg

NI majanga! Inaelezwa kuwa ndege iliyopotea na straika matata Emiliano Sala inawezekana isipatikane tena baada ya kuzama ndani ya maji kwenye bonde lenye urefu wa futi 600.

Bonde hilo lililopo katika visiwa vya Alderney, Uingereza, lilitumika kwa watu kumwaga kemikali za silaha zilizotumika kwenye Vita ya Kwanza ya Dunia, pamoja na takataka nyingine za tani 17,000.

Emiliano-Sala-1024x576.jpg

Imeelezwa kuwa ni ngumu kwa ndege hiyo kupatikana kutokana na kuzama katikati ya kemikali na takataka hizo, na hivyo kuchanganyikana, tena ukiwa ni umbali mrefu kwenda chini.

Hili linakuja baada ya rubani ambaye alikuwa na Emiliano kwenye ndege hiyo, kudaiwa kuwa hana leseni ya biashara na alikuwa na deni la pauni 18,000 (Sh mil 55).

Emiliano alipotea na ndege akiwa yeye na rubani alipokuwa akitokea Ufaransa kwenye klabu yake ya Nantes na kwenda Cardiff City England ambako al ikuwa ‘ amesinya’ (amesaini) mkataba.
 
Deni la Mil. 55 azamishe ndege kwenye kemikali? Hili jambo bado linahitaji uchunguzi wa kina.
 
£18,000 ni hela ndogo sana kama ni deni
Mbona ni chini sana ya mshahara wake?

Ngoja nikajiridhishe na hii habari ntarudi

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hivi vindege si ndio vile vidogo vidogo vinaenda Zanzibar na mafia sana
 
emilianosala2201b-683x1024.jpg

NI majanga! Inaelezwa kuwa ndege iliyopotea na straika matata Emiliano Sala inawezekana isipatikane tena baada ya kuzama ndani ya maji kwenye bonde lenye urefu wa futi 600.

Bonde hilo lililopo katika visiwa vya Alderney, Uingereza, lilitumika kwa watu kumwaga kemikali za silaha zilizotumika kwenye Vita ya Kwanza ya Dunia, pamoja na takataka nyingine za tani 17,000.

Emiliano-Sala-1024x576.jpg

Imeelezwa kuwa ni ngumu kwa ndege hiyo kupatikana kutokana na kuzama katikati ya kemikali na takataka hizo, na hivyo kuchanganyikana, tena ukiwa ni umbali mrefu kwenda chini.

Hili linakuja baada ya rubani ambaye alikuwa na Emiliano kwenye ndege hiyo, kudaiwa kuwa hana leseni ya biashara na alikuwa na deni la pauni 18,000 (Sh mil 55).

Emiliano alipotea na ndege akiwa yeye na rubani alipokuwa akitokea Ufaransa kwenye klabu yake ya Nantes na kwenda Cardiff City England ambako al ikuwa ‘ amesinya’ (amesaini) mkataba.

Mmh!
 
Back
Top Bottom