Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ambao mashabiki wengi hawataki kuusikiaTen Hag ananunua wachezaji ambao uchezaji wao ni tofauti na na aina ya soka lake kitu ambacho kinamfelisha.
Alipokuwa Ajax nyuma yake alikuwa Overmaars anajua mpira haswa na alimsaidia kuleta wachezaji bora .
Hapa United structure inamyumbisha pia hana mtu wa kumsaidia hii sekta maana hicho kitengo wamewekwa bankers akina Arnold sasa why asiyumbe.
Sema jamaa namkubali sana ila anahitaji timu yenye muundo mzuri kuanzia juu,klabuni kwetu hapo hata Guardiola anaweza kuonekana tapeli.
Meanwhile ni ten hag mkuu. Ok naelewa tunapitia changamoto za glazers ila ten hag ni shit sanaHii timu ni kichomi, ukifanya uchunguzi unashindwa kuelewa ni nani hasa tatizo pale Manchester.
Vp Leo ajachomesha tena 😁😁
Jamaa hataki kuachia ngaziVp Leo ajachomesha tena [emoji16][emoji16]
Maguire!Hii timu ni kichomi, ukifanya uchunguzi unashindwa kuelewa ni nani hasa tatizo pale Manchester.