Huhuhuhuhu ni nomareeHahahah... Shida ndio kama nilivosema hizo gari ukiendesha tu ilimradi inawaka na kutembea with time utalia kilio kikuu.
Tena Benz/BMW/Land Rover/Jeep/Ford zinaweza kukuvumilia.
Audi/VW japo spea ni cheap ukilinganisha na wengine ila matatizo huwa yanafululiza kama mwenye gari hajali...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado una akili za kitoto.
Kwamba mimi nimeandika hapa ili niburudishe watu...
Niburudishe ili nigundue nini?
Ndio maana nilikuambia hizi akili za Fesibuku and I was right.
I rest my case.
Ngoja nitafute ignore button.
Ona sasa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huna gari kaa kimya!
Dogo Sio kila uzi ukoment
Mkuu kwanini wasema hivyo? Yawezekana nikawa nimeeleweka vibaya mana wew ni kama mtu wa tatu kama siyo wanne wasema/waona comment yangu siyo nzuri, nieleweshe nilipokosea niombe radhi mana kama watu zaidi ya wawili wakilalamika basi naamini kuna sehemu nimekosea/kwaza mtu/watu. AsanteDah...we jamaa huna jema wala shukrani
Huo unaonekana kabisaa ni mwiba kichomi
Jichanganye tu 😅 hapo uone balaa lake
Hii una ng'alisha una kapa ka rembo kavimbe town, kila siku katakuwa kana kucheki unajilia maana gari itakusaidia sana hatoka kata mguu kwako 😎😎😎Jichanganye tu 😅 hapo uone balaa lake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unarukaruka tu, wapi nimesema umeandika ili uburudishe watu? Kumbe kuna watu wazima lakini wagumu kweli kweli kuelewa, hata sijui ni mjinga gani atakuletea gari lake umfanyie hiyo diagnosis ili hali anaona jinsi gani kichwa chako ni kigumu kuelewa jambo dogo tu. Nachelea kusema mada uliyoleta umeandikiwa na mtu timamu lakini wew ni empty set kwa jinsi unavyojibu hoja na kutaka kukimbia. Nyie ndiyo wale unakuwa contacted then unaanza kusema ngoja nikupe mtu wa kuongea naye wakati wew ndiye ulileta mada.
Kipi kimekukera hapo au nimevunja heshima yake kwa comment ipi hasa? Kuwa na gari na kumpelekea mimi inanihusu nini? Anyway kuwa wazi kosa langu hapo ni nini mkuu? Wala usipindishe maneno sema direct kuwa hiki au comment yako hii umekoseaAcha kumvunjia heshima mleta uzi ambae anaheshimika hapa jukwaani bila sababu za msingi. Sio kila uzi lazima uchangie, maana naona unaropokaropoka tuu ili uonekane na wewe una kitu kichwani wakati in real sense wewe ndio empty set. Wenye magari tunamjua na huwa tunampelekea magari. Punguza ujuaji unakera aaaaaghhh.
Wazungu wenyewe wanakwambja there is nothing more expensive than Cheap Mercedes Benz. Sasa jichanganye ununue hiyo Beemer uone moto wakeHahahahahah hapo kutatua matatizo yote hayo ni aheri ulipie mke mahari uoe 😅😅😅 na harusi kabisa!
Tukiwaambia gari zetu wamatumbi ni Toyota wanajitia ujuaji! Hapo Service tu ya vifaa vyote cost yake ni bora kununua IST tu! Niliwahi ona BMW 3 series inauzwa juzi kati et 4.5m na gari ni DPT imenyooka😅 sana nikajiuliza dah 4.5m for a Bmw kuna namna!
Ukiwambia wanajifanya et dunia Kijiji hizi zinafaa watu wenye cash zaoHahahahahah hapo kutatua matatizo yote hayo ni aheri ulipie mke mahari uoe [emoji28][emoji28][emoji28] na harusi kabisa!
Tukiwaambia gari zetu wamatumbi ni Toyota wanajitia ujuaji! Hapo Service tu ya vifaa vyote cost yake ni bora kununua IST tu! Niliwahi ona BMW 3 series inauzwa juzi kati et 4.5m na gari ni DPT imenyooka[emoji28] sana nikajiuliza dah 4.5m for a Bmw kuna namna!
Nilikuwa nakapenda ks toyots succeed kangu ila toka kasnze uhuni nimerudi kweny "jinin mla mafuta" mla mafuta
Linanikela na li muungurumo lake kama insyuka
Toyota succeed (probox)Gari gani hiyo?
Toyota succeed (probox)
Ha ha haNimeona wenzake wanampa hongera... Nmeishia tu kumuonea huruma.