[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unarukaruka tu, wapi nimesema umeandika ili uburudishe watu? Kumbe kuna watu wazima lakini wagumu kweli kweli kuelewa, hata sijui ni mjinga gani atakuletea gari lake umfanyie hiyo diagnosis ili hali anaona jinsi gani kichwa chako ni kigumu kuelewa jambo dogo tu. Nachelea kusema mada uliyoleta umeandikiwa na mtu timamu lakini wew ni empty set kwa jinsi unavyojibu hoja na kutaka kukimbia. Nyie ndiyo wale unakuwa contacted then unaanza kusema ngoja nikupe mtu wa kuongea naye wakati wew ndiye ulileta mada.