Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1948905
Little we knew that the Freedom will be for the few TANU, CCM and Afro Shirazi Party elites.
Hao walikuwa na nia moja,nguvu moja na hali moja mama je nyie hivyo mnavyo?Mabeberu waliruhusu Uhuru wa vyombo vya habari
Maccm wangekuwa madarakani lingefungiwa milele kwa kuandika uchochezi lakini BEBERUS hawakutia neno.
CCM imeturudisha nyuma miaka 💯. Tunahitaji Uhuru kamiliMabeberu waliruhusu Uhuru wa vyombo vya habari
Kura zinazosimamiwa na serikali ya CCM unaziamini? Mtaambiwa waliopiga kura tuendelee na katiba hii ni wengi zaidi ya wanao ikataa.Inapoibuka hoja ya katiba hata akiibua mtu mmoja au mwananchi mmoja ni lazima uende kwa wananchi uwaulize je mnataka katiba au hamtaki tena wapige kura ya wazi, baada ya hapo mchakato unaanza kulingana na maoni ya wazi ya wananchi ya bila vitisho, Sio unakua kama mchawi yaani unaamka tu unakurupuka kuzuia makongamano ukidhani umezuia kumbe unakua unajipotezea muda mwenyewe maana unaahirisha jambo la msingi ambalo utalifanya tu mwenyewe mbeleni,