Elections 2010 Hivi Ndivyo Gazeti Moja Kenya Limeandika

Elections 2010 Hivi Ndivyo Gazeti Moja Kenya Limeandika

Nicazius

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
143
Reaction score
17
Hivi Ndivyo Gazeti Moja Kenya Limeandika.JPG
 
I wish Mkulu angeiona hii.

Alishaiona! Hata yeye mwenyewe analijua hilo. Thamani ya shilingi inaporomoka utafikiri hakuna wa kuilinda. Tunaelekea kuwa na hela kama ya Zimbabwe siku si nyingi. Hapa ndo unapoona kwamba uprofessa ni kazi bure tu. Sasa Beno pamoja na uprofessa wake mambo BOT yamemshinda kabisa.
 
Angemtukana JK nisingejali sana; hizo picha zinawakilisha Raia sio Ma Rais. Lakini aliyemtukana ni Raia wa Tz na bado majitu yanafurahia! Ujinga mtupu.
 
Nahisi kama kuna kauhasama fulani kachinichini kwa wakenya dhidi ya watanzania...
 
Angemtukana JK nisingejali sana; hizo picha zinawakilisha Raia sio Ma Rais. Lakini aliyemtukana ni Raia wa Tz na bado majitu yanafurahia! Ujinga mtupu.

Haujui Rais ni reflection ya watu wake?
 
Angemtukana JK nisingejali sana; hizo picha zinawakilisha Raia sio Ma Rais. Lakini aliyemtukana ni Raia wa Tz na bado majitu yanafurahia! Ujinga mtupu.

Hapa elewa ndugu kuwa hii ni fasihi.

Maan yake ni kuwa our president is doing nothing worth mentioning.
 
Beno kawekwa kuchapisha minoti kibao ya kampeni, anapata maelekezo toka ofisi kuu, hana la kufanya. Inabidi tu naye ameamua kukaa kwenye mjengo wa maana ambao tumepiga kelele weee jamaaa kimya. Lakini alipo ingia akawa yeye kama ndo mshika mpini.

"This country is very poor, Hahahhaha!!" Kazi ipo, ila yana mwisho.
 
na Kikwete , anapendwa na watu fulani hivi ambao hata ukiwauliza kwanini mnampenda wanakwambia basi tu ? wanaona haya kusema ni handsome .
 
sio hivyo tu;

ni rais wa kwanza africa kupeana mikono na obama baada ya kuapishwa,

ni raisi anayeongoza kwa misafara ya nje akiwa na marafiki zake.
 
Naamini watampelekea kina Makamba
 
hahahahahahaha....! nyerere alituonya kuhusu kuchagua sura..! alisema kama unampenda mchukue ukanywe nae chai ...! lol
 
Back
Top Bottom