Anapoteza muda. Kuna mtu yoyote umesikia amewahi kuchukuliwa hatua ?
Na yeye pia tujue anakaguliwa na nani, kuna matumizi makubwa sana ya pesa kwenye ofisi ya CAG na ikulu. Ni Nani anaehusika kukagua huko
It is for public interest iwekwe wazi, ofisi ya Rais na Mkaguzi wote ni watumishi
Je sheria ya uhakiki wa Mali za umma una maeneo hawatakiwi kugusa?
Nyuzi kama hizi ni kufutilia mbali, hazina tija
Sitak kusikua ishu yoyote ya CAG , yale mandege ya JPM na Samia, ni another failure kwenye Taifa hilo la Tanzania, na hakuna waliowajibishwa, DP world ni another failure kwenye taifa, mnatafuta viofisi kama MSD visivyokuwa na mbele wala nyuma kuwashushia mzigo