Hivi ndivyo hela zilivyopigwa kwenye Bohari ya Madawa

Vipi umeguswa kwa namna yoyote ile?
 
Kheee...!!! Wizi ni wizi tu..!! Ingekuwa haina tija hata wewe usingeweza kujua kuwa tunapigwa..!!

BTW, ofisi ya CAG jukumu lake nikusema nani ni mwizi na nani siyo. Kutoa adhabu yoyote kwa wabadhirifu si jukumu la ofisi ya CAG. Tija unayoisema inatakiwa iletwe na polisi, mahakama, takukuru etc. CAG jukumu lake kalikamilisha kwa more than 90% if not 100%. Usisahau yeye siyo mtekelezaji wa anachoshauri kifanyike au mrekebishaji wa makosa aliyoyabaini..!! Zipo taasisi mbalimbali za kufanya hayo.
 
Kilichoandikwa kwenye heading ni Billion.

Ukisoma taarifa yenyewe ni Millioni, kipi ni sahihi wewe mleta mada.

Kaguzi za namna hii hazina Tija hata kidogo, sheria ya manunuzi ndio shida, wasilaumu hao MSD.
Soma tena pia hesabu, mashine zipo 10, kila moja wameandika ni milioni 136 wakati bei ni milioni 103 hivyo kila mashine wamepika milioni 330.

Kwahiyo wametumia bilioni 1.36 badala ya bei halisi bilioni 1.03
 
Huyu anaishia kutangaza tu kilichopigwa na kuliwa ๐Ÿ˜„
Wachukua hatua kimya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ