Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Na pale ambapo inakuwa ngumu kukubali kuwa pengine kuna yaliyomwagwa mwanzoni yakatengeneza ulinzi usioruhusu mamwago mengine yafurukute! Wanasema waache kuruka ruka ovyo, tatizo ni kubwa sana siku hizi na hasa kwa -ke.Na hatari inakuwa pale asipojua kuwa ana tatizo.
Hata hivyo sikuelewa walichosema