Hivi ndivyo inavyotokea, sijui ni kwanini

Na hatari inakuwa pale asipojua kuwa ana tatizo.
Na pale ambapo inakuwa ngumu kukubali kuwa pengine kuna yaliyomwagwa mwanzoni yakatengeneza ulinzi usioruhusu mamwago mengine yafurukute! Wanasema waache kuruka ruka ovyo, tatizo ni kubwa sana siku hizi na hasa kwa -ke.

Hata hivyo sikuelewa walichosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…