NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Mtoa mada unayo shida kidogo; mfano Chelsea imefanya usajili wa Pulsic ; Morata na Kepa kwa pesa nyingi. Kwasasa timu haina wachezaji wanolipwa pesa nyingi mpaka izuie timu kubalance mapato au umeiweka kwasababu ya ushabiki?Huwa nabaki kimya ninapoona watu wanamponda ed wood wa man utd, utd inazidi kujiimarisha kifedha na uwezo wa kujiendesha kila kukicha, inaweza kumsajili mchezaji yeyote duniani hata timu nzima ikitaka na bado hainusi harufu ya kuvunja fffp rules, mfano iliweza kuzishinda totts, Chelsea, city kumsajili shaw, Maguire na Sanchez kwasabababu wengine walijitoa kwakuwa fffp zinaelekea kuwabana. Bayern Munich waliweka ukomo wa mshahara na bei ya kununua mchezaji ili kujilinda na fffp
Kitakachofuata city atazidi kupoteza mapato kutoka uefa na atalazimika kupunguza matumizi ili vitabu vibalance, how? Atashindwa kusajili wachezaji wa bei kubwa, apunguze wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa. Kibaya zaidi wachezaji wengi umri umeenda na hawauziki kwa bei kubwa. Naiona city ya 2008 kurudi nyuma
wanafuata ni psg, Chelsea, Valencia, Monaco, inter Milan, ac Milan, juve nae yupo mstari mwekundu, Madrid, barca wameshatumia fedha nyingi sana nao wapo njia panda.
Weka kichwani Man utd, arsenal, Bayern Munich wanarudia enzi zao watabaki peke yao kwenye soko la usajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we ni shoga nitajie kocha aliyefundisha bunley ambae kwako ni kocja boraAngefundisha Burnley ndo tungejua ubora.
Shoga ni wewe unayejitangaza mbele ya wanaume kuwa ni chakula aka bwabwa.Kumbe we ni shoga nitajie kocha aliyefundisha bunley ambae kwako ni kocja bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpigie kichwaShoga ni wewe unayejitangaza mbele ya wanaume kuwa ni chakula aka bwabwa.
Mara nyingine muwe na heshima na haki za wenzenu. Yeye Guardiaola ni Mkatalonia, kwa hiyo anapozungumzia Catalonia kujitenga si kushabikia, bali ni kujitetea matakwa yakeLiondoke tu hilo Pep, kocha libaguzi kuu la rangi (Eto'o & Toure) libinafsi kisiasa lilipolimwa adhabu 2018 na FA kwa kujihusisha kisiasa likihamasisha utengano baina ya Catalonia na Hispania.
Lijengaji CV nzuri kwa timu zilizo on fire (bora) e.g Barcelona, Buyern na Man City. dexterous