Hivi ndivyo itakavyokuwa baada ya Man City kuzuiwa kushiriki michuano ya UEFA

Hivi ndivyo itakavyokuwa baada ya Man City kuzuiwa kushiriki michuano ya UEFA

Huwa nabaki kimya ninapoona watu wanamponda ed wood wa man utd, utd inazidi kujiimarisha kifedha na uwezo wa kujiendesha kila kukicha, inaweza kumsajili mchezaji yeyote duniani hata timu nzima ikitaka na bado hainusi harufu ya kuvunja fffp rules, mfano iliweza kuzishinda totts, Chelsea, city kumsajili shaw, Maguire na Sanchez kwasabababu wengine walijitoa kwakuwa fffp zinaelekea kuwabana. Bayern Munich waliweka ukomo wa mshahara na bei ya kununua mchezaji ili kujilinda na fffp

Kitakachofuata city atazidi kupoteza mapato kutoka uefa na atalazimika kupunguza matumizi ili vitabu vibalance, how? Atashindwa kusajili wachezaji wa bei kubwa, apunguze wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa. Kibaya zaidi wachezaji wengi umri umeenda na hawauziki kwa bei kubwa. Naiona city ya 2008 kurudi nyuma

wanafuata ni psg, Chelsea, Valencia, Monaco, inter Milan, ac Milan, juve nae yupo mstari mwekundu, Madrid, barca wameshatumia fedha nyingi sana nao wapo njia panda.

Weka kichwani Man utd, arsenal, Bayern Munich wanarudia enzi zao watabaki peke yao kwenye soko la usajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada unayo shida kidogo; mfano Chelsea imefanya usajili wa Pulsic ; Morata na Kepa kwa pesa nyingi. Kwasasa timu haina wachezaji wanolipwa pesa nyingi mpaka izuie timu kubalance mapato au umeiweka kwasababu ya ushabiki?
Chelsea ndo timu kwa epl iliyotengeneza pesa kubwa kwa kuuza wachezaji kwa msimu huu kuliko timu zote.

Swali lako imejikita kwa Man U kutengeneza pesa kwa brand ya club lakini kama timu haifanyi vizuri amna mchezaji anaejitambua na kutaka mafanikio yake aje achezee Man U kisa club ipate faida ila yenyewe isivune mafanikio.
 
Liondoke tu hilo Pep, kocha libaguzi kuu la rangi (Eto'o & Toure) libinafsi kisiasa lilipolimwa adhabu 2018 na FA kwa kujihusisha kisiasa likihamasisha utengano baina ya Catalonia na Hispania.

Lijengaji CV nzuri kwa timu zilizo on fire (bora) e.g Barcelona, Buyern na Man City. dexterous
Mara nyingine muwe na heshima na haki za wenzenu. Yeye Guardiaola ni Mkatalonia, kwa hiyo anapozungumzia Catalonia kujitenga si kushabikia, bali ni kujitetea matakwa yake
 
Back
Top Bottom