TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 1,079
- 1,376
Tunaweza kusema membe ni zao la CCM usitegemee mapya zaid ya upinzani kujivurugaNilijiuliza maswali:
1. Kwanini Membe aliandamwa?
2. Kwanini Membe alifukuzwa?
3. Je, ni kweli Membe anaweza kuwa ni mtu tu asiye na nguvu wala ushawishi lakini akakumbana na 1 & 2 hapo juu?
Ambacho nimekiona mpaka sasa ni kwamba, Membe ndiye atagombea Urais kwa ticket ya CHADEMA 2020, na mgombea wa awamu ijayo, yaani 2025 ni Lissu.
Naamini Membe ana nguvu fulani, na nyuma yake wanaweza kuwepo marais kadhaa wastaafu.
tf.
Basi CHADEMA inaweza kukubali kuungana na ACT wakawa na mgombea mmoja. Na hii inaweza kuwa njia nzuri ya CHADEMA kuepuka lawama kwamba kila uchaguzi ukifika kinapokea mamluki.Labda kupitia ACT Wazalendo. Nashawishika kusema hivyo kulingana na upepo wa kisiasa huko mikoa ya Kusini.
Tunaweza kusema membe ni zao la ccm usitegemee mapya zaid ya upinzani kujivuruga
Tuwe na subira Mkuu, muda ukiwadia kila kitu kitakuwa wazi.Basi CHADEMA inaweza kukubali kuungana na ACT wakawa na mgombea mmoja. Na hii inaweza kuwa njia nzuri ya CHADEMA kuepuka lawama kwamba kila uchaguzi ukifika kinapokea mamluki.
Ccm haiwezi kuondoka kwa kuokoteza watu kutoka ccmNadhani wapinzania wanachoangalia sasa ni CCM inaondokaje!
Pia itaepuka lawama kwamba, kwa nini kila vyama vikiungana mgombea atokee CHADEMA na sio chama kingine?Tuwe na subira Mkuu, muda ukiwadia kila kitu kitakuwa wazi.
Kwa nini Rais Nyerere alisema atakayeing'oa CCM ni mtu kutoka ndani ya chama?Ccm haiwezi kuondoka kwa kuokoteza watu kutoka ccm
Ccm itaondoka kwa wapinzani kujipanga na kuamua kuwa bila masalia ya ccm wanaweza
Mazao ya ccm hayawezi kuiangusha ccm ila wapinzani wakijipanga wanaweza kuiangusha ccm
Alisema hayo si kama unavyo fikiria yanahitaji utafakari zaidi ya maneno yakeKwa nini Rais Nyerere alisema atakayeing'oa CCM ni mtu kutoka ndani ya chama?
Mawazo ya Wapinzani wa Kweli ukiwaweka kando wala wa vyama Mamluki wa ccm zinajikita zaidi ktk kutafuta mbinu ya kuondosha ccm madarakani na siyo nani ni nani ndani ya Upinzani.Pia itaepuka lawama kwamba, kwa nini kila vyama vikiungana mgombea atokee CHADEMA na sio chama kingine?
Kwa nini Rais Nyerere alisema atakayeing'oa CCM ni mtu kutoka ndani ya chama?
Soma vizuri sheria ya muungano wa vyama vya siasa, utagundua hawawezi kuungana muda wa hayo umekwisha. Mambo yamebadilika, usidhani vyama kuungana ni kinyemela tuu kama enzi za UKAWA, sasa kuna sheria, kanuni na taratibu.Basi CHADEMA inaweza kukubali kuungana na ACT wakawa na mgombea mmoja. Na hii inaweza kuwa njia nzuri ya CHADEMA kuepuka lawama kwamba kila uchaguzi ukifika kinapokea mamluki.
2012 kwny mahojiano Itv Membe alisema vijana wa Chadema ni njaa tupu akikutana nao hua anawanunulia chakula tu wanaishia kua wapole hapohapo akasema Mbowe(Kiongozi wa kambi rasmi bungeni) nae awe anawahojiwa na wabunge kama ambavyo waziri mkuu bungeni anavyopigwa maswali.Membe akigombea nampa kura Magufuli. Msitufanye watanzania mazezeta. Hamjajifunza tu ya Lowasa? Membe enzi za Kikwete alikuwa ni kiongozi mwandamizi wa serikali, na laiti angeshinda angepitishwa na kushinda urais 2015 angekuwa anawasomesha namba wapinzani kama anavyofanya rais wa sasa. Mkimpitisha tu kura yangu inaenda kwa Magufuri.
Huo utakua ni upumbavu 1st class mzee baba.Basi CHADEMA inaweza kukubali kuungana na ACT wakawa na mgombea mmoja. Na hii inaweza kuwa njia nzuri ya CHADEMA kuepuka lawama kwamba kila uchaguzi ukifika kinapokea mamluki.
Kwani Nyerere ni Mungu kwamba akisema ndio sheria/itakua hivyo?Kwa nini Rais Nyerere alisema atakayeing'oa CCM ni mtu kutoka ndani ya chama?
Ambacho nimekiona mpaka sasa ni kwamba, Membe ndiye atagombea Urais kwa ticket ya CHADEMA 2020, na mgombea wa awamu ijayo, yaani 2025 ni Lissu.