Hivi ndivyo itakavyokuwa: Membe atagombea Urais 2020, Lissu 2025


Huwa ninawashangaa sana Watanzania ambao Kutwa wanahangaika Kudhani kuwa eti Siku moja Membe atakuja kuwa Rais wa Tanzania yetu hii.
 
Membe aje CDM tutamlea hadi kwa kazi nzuri ajabu 2025.
 
Kuliko umpe nchi Membe si afadhali uwape wanajeshi???nawaza tu
 
Wahuni sio watu
Wengine walisema Nyarandu, kama wewe ukasema Membe ila wote mkaangukia pua.

Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…