Hivi ndivyo jinsi Wakenya walivyoharibiwa vichwa kwa kudanganywa na vyombo vya habari kwa muda mrefu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kenya records fastest rising number of dollar millionaires

Someni hii habari iliyoandikwa na vyombo vya habari huko Kenya, na mlinganishe na habari yenyewe kama ilivyoripotiwa na BBC na vyombo vingine vya habari.

Wakenya wengi tangu utotoni wamekuwa wakilishwa habari za uongo zinazowapa sifa na matumaini ya uongo, ndio sababu sasa hivi hawaamini baada ya kugundua ukweli kupitia mitandao ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, hakuna tatizo lolote na taarifa hiyo. Infact hapo kwa kimombo ndio huwa wanasema 'excellent reporting'. Wanaongea kuhusu $ MILLIONAIRES sio Billionaires(ambao wametaja wazi kwamba Kenya ni 42 na wanategemewa kuwa 48 ikifikia 2024). Taarifa ni kuhusu Kenya kuongoza DUNIANI kwa ongezeko kwa %(263%), sio wingi, wa hao $ MILLIONAIRES. Hadi 2,900 kutoka mwaka wa 2014. Ningekushauri utafute takwimu zenyewe kutoka kwa ripoti iliyonukuliwa, ya Knight Frank 2020 Wealth Report. Ila usijisumbue, maanake najua kwa uhakika kwamba zitakunganya zaidi hata ya taarifa hiyo ambayo sio ya kukanganya, kwa mtu aliye elimika.
 
Naona Sindano imekuingia vizuri hadi unaongea Kiswahili kizuri kama mtu wa pwani 😅😅.
 
Naona Sindano imekuingia vizuri hadi unaongea Kiswahili kizuri kama mtu wa pwani.
Eti nimeongea? [emoji1] Nawa ooh!
11164670_11067792img2380jpeg74714d75d34e233395604d140ce2aab3_jpegda8c55f843cf3bc68953483376c11e92
Nothing rat no go see for kitchen.
 
Aisee, hakuna tatizo lolote na taarifa hiyo. Infact hapo kwa kimombo ndio huwa wanasema 'excellent reporting'. Wanaongea kuhusu $ MILLIONAIRES sio Billionaires(ambao wametaja wazi kwamba Kenya ni 42 na wanategemewa kuwa 48 ikifikia 2024). Taarifa ni kuhusu Kenya kuongoza DUNIANI kwa ongezeko kwa %(263%), sio wingi, wa hao $ MILLIONAIRES. Hadi 2,900 kutoka mwaka wa 2014. Ningekushauri utafute takwimu zenyewe kutoka kwa ripoti iliyonukuliwa, ya Knight Frank 2020 Wealth Report. Ila usijisumbue, maanake najua kwa uhakika kwamba zitakunganya zaidi hata ya taarifa hiyo ambayo sio ya kukanganya, kwa mtu aliye elimika.
Kenya haina $ Billionaire hata mmoja, Tanzania yupo mmoja tu, wanaozungumziwa ni $ Millionaires ambapo Kenya wamepungua kwa 496, haiwezikani kwamba idadi yao ipungue wakati huohuo idadi yao iwe inaongezeka kwa kasi, hiyo kwa kimombo ndio inaitwa "Excellent stupidity".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya haina $ Billionaire hata mmoja, Tanzania yupo mmoja tu, wanaozungumziwa ni $ Millionaires ambapo Kenya wamepungua kwa 496, haiwezikani kwamba idadi yao ipungue wakati huohuo idadi yao iwe inaongezeka kwa kasi, hiyo kwa kimombo ndio inaitwa "Excellent stupidity".

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajazungumzia $Billionaires wametaja Billionaires ambao ni 42 nchini Kenya wakitumia kigezo cha KES 3billion($300million). Kuhusu ongezeko la hao $Millionaires nchini Kenya, hadi 2,900(ongezeko ambalo wanasema ni la 263%) mwaka wa 2020 wanasema ni kutoka mwaka wa 2014, sio 2019. Hebu leta ripoti hiyo ya Knight Frank tuichambue tuone hiyo 2014 walikuwa wangapi nchini Kenya.
 
Wewe ndiye huyo billionaire ama ni maskini tu hapo LDC?
 
Hawajazungumzia $Billionaires wametaja Billionaires ambao ni 42 nchini Kenya wakitumia kigezo cha KES 3billion($300million). Kuhusu ongezeko la hao $Millionaires nchini Kenya, hadi 2,900(ongezeko ambalo wanasema ni la 263%) mwaka wa 2020 wanasema ni kutoka mwaka wa 2014, sio 2019. Hebu leta ripoti hiyo ya Knight Frank tuichambue tuone hiyo 2014 walikuwa wangapi nchini Kenya.
Hivi kwanini Wakenya mnapenda sana kupinga vitu vya wazi kihasi hiki?, soma heading ya hii article Kenya records fastest rising number of dollar millionaires
Wapi wamesema ni idadi ya Billionaires in KES?, wao wanazungumzia $Millionaires kwamba inaongezeka kwa kasi kuliko nchi zote, wakati ripoti inaonyesha kwamba imepungua kwa 496. Kitu gani unachojaribu kupinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu mleta mada, vipi kuhusu media za Tz? Naona unatumia BBC kuponda media za Kenya ila hutaji wala kutumia taarifa zozote kutoka kwa media za Tz. Au huko ni umbea umbea tu sio uanahabari? [emoji1]
 
''The number of billionaires worth over $30 million (Sh3 billion) in the country which currently sits at 42 is on other hand expected to grow to 48 in the next five years.''
Hivi kwanini Wakenya mnapenda sana kupinga vitu vya wazi kihasi hiki?, soma heading ya hii article Kenya records fastest rising number of dollar millionaires
Wapi wamesema ni idadi ya Billionaires in KES?, wao wanazungumzia $Millionaires kwamba inaongezeka kwa kasi kuliko nchi zote, wakati ripoti inaonyesha kwamba imepungua kwa 496. Kitu gani unachojaribu kupinga?
Hiyo aya hapo nimeicopy paste moja kwa moja kutoka kwa taarifa kwenye hiyo link yako. Ina maana kwamba umemalizia tu kwa kichwa cha habari kisha ukaanzisha uzi? 😀
 
Alafu mleta mada, vipi kuhusu media za Tz? Naona unatumia BBC kuponda media za Kenya ila hutaji wala kutumia taarifa zozote kutoka kwa media za Tz. Au huko ni umbea umbea tu sio uanahabari? [emoji1]
Hahahaha, huyo mwenzenu hataki hata kuamini gazeti la citizen, anasema ni watanzania, japo kampuni lenyewe ni kutoka Kenya, sasa unategemea nini nikitumia magazeti ya Tanzania?, hiyo ndio sababu ninatumia BBC ambalo halina upande wowote, hata hiyo BBC kuna mwenzenu amepinga eti kwasababu ni BBC Kiswahili, hiyo ni dalili ya kutapatapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''The number of billionaires worth over $30 million (Sh3 billion) in the country which currently sits at 42 is on other hand expected to grow to 48 in the next five years.'' Hiyo aya hapo nimeicopy paste moja kwa moja kutoka kwa taarifa kwenye hiyo link yako. Ina maana kwamba umemalizia tu kwa kichwa cha habari kisha ukaanzisha uzi? 😀
Wakati ripoti ya Knight Frank inasema tofauti, kwamba idadi ya wakenya wenye kuanzia $1M imeshuka kwa wingi sana, karibia matajiri 500 wa Kenya wenye utajiri kuanzia $1M wameshuka hawapo tena katika kundi la $Millionaires, sasa inakuaje tena idadi ya $Millionaires iongezeke kwa kasi?
Soma hii ripoti Absa | Mobile Banking

Marekani: Tanzania imekuwa kituo kikuu cha wauzaji wa Madawa ya Kulevya Afrika Mashariki
Screenshot_20200308-093610.png

Hii pia ni ripoti ya Mabeberu
 
Back
Top Bottom