Hivi ndivyo jinsi Wakenya walivyoharibiwa vichwa kwa kudanganywa na vyombo vya habari kwa muda mrefu

Screenshot_20200307-130041.png
 
Kenya records fastest rising number of dollar millionaires
Someni hii habari iliyoandikwa na vyombo vya habari huko Kenya, na mlinganishe na habari yenyewe kama ilivyoripotiwa na BBC na vyombo vingine vya habari.

Wakenya wengi tangu utotoni wamekuwa wakilishwa habari za uongo zinazowapa sifa na matumaini ya uongo, ndio sababu sasa hivi hawaamini baada ya kugundua ukweli kupitia mitandao ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya Kenya inaongelea kuhusu Kenya, alafu unataka ilingane na BBC??? WTF, kwani BBC ndio walioandika ripoti..... licha ya kua mimi nina shida na hio ripoti ya 2020, wacha nijaribu kukueleza ni vipi hio habari ya gazeti la kenya inasema, "Kenya records fastest rising number of dollar millionaires"....
Unajua vile hua watanzania mnajisifu kwa kuwa na highest GDP growth rates in the world... Sasa nadhani mmefikisha miaka 20 ambapo average GDP growth yenu ni 7% ....
Si wakenya average yetu ni 5% kwa wakati huo huo lakini ukiangalia actual GDP Kenya inazidi kuipatia gap TZ,.......... Hua tunawaambia ni kwasababu GDP base ya Tanzania ni ndogo, na ya Kenya ni kubwa... KWahivyo unaeza kuta hio 7% growth in actual dollars mmeongeza kama $8Billion kwa economy lakini kwasababu Kenya tayari iko na base kubwa ya GDP unakuta 5% growth ni kama $15B zimeongezwa kwa uchumi....
------------------------------

Ukiwa umeelewa hadi hapo basi itakua rahisi kuelewa hio habari...
mfano mwengine:
wewe ukiwa na cash 1,000 na uongeze 100, itakua umeongeza thamani yako na 10%..........
lakini mimi nikiwa na cash 100 na niongeze 100 nyengine nitakua nimeongeza thamani yangu na 200%... KWahivyo mimi ndo ntakua na the fastest growth ya thamani..

1583657170842.png

1583657250072.png

Kwahivyo huyo mwanahabari hajakosea lolote, yuko sawa..... Lakini hata wewe mwenyewe unaona vile hizo takwimu za Kenya ni lazima walikosea tu... Too many discrapancies ukilinganisha na ripoti yao ya mwaka jana.... Na hata uki ignore hio ripoti ya mwaka jana... Ukiangalia hio ripoti ya 2020, nchi zote zengine dollar millionaire wanaongezeka at a steady pace, kenya pekee ndo wanapanda by over 200% ndani ya miaka mitano?
 
View attachment 1380734
View attachment 1380736

Kwahivyo huyo mwanahabari hajakosea lolote, yuko sawa..... Lakini hata wewe mwenyewe unaona vile hizo takwimu za Kenya ni lazima walikosea tu... Too many discrapancies ukilinganisha na ripoti yao ya mwaka jana.... Na hata uki ignore hio ripoti ya mwaka jana... Ukiangalia hio ripoti ya 2020, nchi zote zengine dollar millionaire wanaongezeka at a steady pace, kenya pekee ndo wanapanda by over 200% ndani ya miaka mitano?
Tatizo lenu ni uwezo mdogo wa kuelewa mambo. Kinachozungumziwa hawa ni kuongezeka au kupungua kwa idadi ya milionea Kenya. Hata kama mngekuwa na millionea milioni 5, lakini mwaka huu wakapungua milionea wawili, huwezi kusema idadi ya milionea inaongezeza, badala yake utasema imepungua.

Kwa mujibu ya ripoti ya Knight Frank, mwaka huu jumla ya $Millionaires Kenya imepungua kwa 499, vipi vyombo vyenu vya habari vinasema idadi ya $Millionaires inaongezeka kwa kasi?, tumieni akili acheni sifa za kijinga.

Yani link ulileta mwenyewe alafu kumbe haukuisoma

----------------------------------------
According to the report released yesterday, the number of a dollar millionaires in the country has grown 263 per cent since 2014, hitting 2,900.
Kenya records fastest rising number of dollar millionaires
---------------------------------------------

Kitu ambacho kinaendana na ripoti yenyewe ! Sasa wewe kama kawa umechanganyinkiwa umeenda kusoma mambo yako.. Kama unashindwa kupanga information akilini sema usaidiwe!
 
Ninarudia tena, wewe akili yako ni ndogo huwezi kubishana na mimi, mimi nimeweka hiyo"link" ambayo ni mwandishi wa Kenya anaandika vitu vya uongo ukilinganisha na ripoti ya Knight Frank ambayo inasema kwamba idadi ya $Millionaires Kenya imepungu kwa 499 mwaka huu. Sasa wewe kutokana na akili yako ndogo unajajidili hiyo link niliyoiweka.

Soma uzi unasemaje ndio ujadili hiyo link nilitokuwekea, nimeweka hiyo link kukuonyesha kwamba, kinachoandikwa na 'Media'za Kenya ni tofauti kabisa na ripoti zinazotangazwa na "International Bodies'. Wakati Knight Frank inasema idadi ya $Millionaires Kenya imepungua kwa 499, ninyi huko mnapiga propaganda kwamba inadi inaongezeka kwa kasi, stupid.

Angalia huyu mwendawazimu naye! Ripoti ulioleta inasema "According to the report released yesterday, the number of a dollar millionaires in the country has grown 263 per cent since 2014, hitting 2,900. "
........

Alafu wewe unaongelea kuhusu mamilionnare waliopungua kati ya mwaka jana na mwaka huu, Hio taarifa ya KEnya inaongelea kuhusu walioongezeka tangu 2014 hadi 2020.... NOT 2019-2020 sasa ni nani ndo ako na akili ndogo ambayo haiwezi kutofautisha hizo taarifa 😇😇😇😇😇 Nakuonea huruma, watoto wako watateseka sana...
 
Kanyageni kubwa kubwa hadi ofisi za knight frank mkatoe hayo malalamiko yenu 😂😂😂
 
Angalia huyu mwendawazimu naye! Ripoti ulioleta inasema "According to the report released yesterday, the number of a dollar millionaires in the country has grown 263 per cent since 2014, hitting 2,900. "
........

Alafu wewe unaongelea kuhusu mamilionnare waliopungua kati ya mwaka jana na mwaka huu, Hio taarifa ya KEnya inaongelea kuhusu walioongezeka tangu 2014 hadi 2020.... NOT 2019-2020 sasa ni nani ndo ako na akili ndogo ambayo haiwezi kutofautisha hizo taarifa [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] Nakuonea huruma, watoto wako watateseka sana...
Ndio sababu nikasema "Media" zenu zinawapotosha sana, hivi kama miaka yote mlikua mnafanya vizuri lakini mwaka huu mkaporomoka kipi kinafaa kuwa "reported"?.
Ninyi wakenya ni watu wa hovyo sana, kama miaka yote ya nyuma wakulima walikua wakipata mavuno mengi, ila mwaka huu mavuno yamepungua, utaendelea kuandika kwamba wakulima wanaendelea kupata mavuno?

Hivi kama uchumi miaka yote ulikua unaenda vizuri, lakini mwaka huu mambo yamebadilika na uchumi unaporomoka "what should be the subject of the news this time?. Hivi shuleni huwa mnafundishwa nini zaidi ya ukabila na rushwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ripoti ya Knight Frank inasema tofauti, kwamba idadi ya wakenya wenye kuanzia $1M imeshuka kwa wingi sana, karibia matajiri 500 wa Kenya wenye utajiri kuanzia $1M wameshuka hawapo tena katika kundi la $Millionaires, sasa inakuaje tena idadi ya $Millionaires iongezeke kwa kasi?
Soma hii ripoti Absa | Mobile Banking

Sent using Jamii Forums mobile app
Km wamepungua mia tano mbna idadi basi ikashuka mpka 2000 na wakati 2018 walikuwa 9000[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254 njoo huku ujitetee, poleni sana, kumbe nchi yenu inamilikiwa na wazungu
 
aibu sana huko bongo mabilionea wote wahindi na waarabu....mangi aliyekuwa anawakilisha ma bwashee ze nyeusiii kaaga mazee...wamebaki kuwalamba lamba waarabu na makanjibhaii😂😂
 
Back
Top Bottom