joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Naona Sindano imekuingia vizuri hadi unaongea Kiswahili kizuri kama mtu wa pwani π π .Aisee, hakuna tatizo lolote na taarifa hiyo. Infact hapo kwa kimombo ndio huwa wanasema 'excellent reporting'. Wanaongea kuhusu $ MILLIONAIRES sio Billionaires(ambao wametaja wazi kwamba Kenya ni 42 na wanategemewa kuwa 48 ikifikia 2024). Taarifa ni kuhusu Kenya kuongoza DUNIANI kwa ongezeko kwa %(263%), sio wingi, wa hao $ MILLIONAIRES. Hadi 2,900 kutoka mwaka wa 2014. Ningekushauri utafute takwimu zenyewe kutoka kwa ripoti iliyonukuliwa, ya Knight Frank 2020 Wealth Report. Ila usijisumbue, maanake najua kwa uhakika kwamba zitakunganya zaidi hata ya taarifa hiyo ambayo sio ya kukanganya, kwa mtu aliye elimika.
Eti nimeongea? [emoji1] Nawa ooh!Naona Sindano imekuingia vizuri hadi unaongea Kiswahili kizuri kama mtu wa pwani.
Kenya haina $ Billionaire hata mmoja, Tanzania yupo mmoja tu, wanaozungumziwa ni $ Millionaires ambapo Kenya wamepungua kwa 496, haiwezikani kwamba idadi yao ipungue wakati huohuo idadi yao iwe inaongezeka kwa kasi, hiyo kwa kimombo ndio inaitwa "Excellent stupidity".Aisee, hakuna tatizo lolote na taarifa hiyo. Infact hapo kwa kimombo ndio huwa wanasema 'excellent reporting'. Wanaongea kuhusu $ MILLIONAIRES sio Billionaires(ambao wametaja wazi kwamba Kenya ni 42 na wanategemewa kuwa 48 ikifikia 2024). Taarifa ni kuhusu Kenya kuongoza DUNIANI kwa ongezeko kwa %(263%), sio wingi, wa hao $ MILLIONAIRES. Hadi 2,900 kutoka mwaka wa 2014. Ningekushauri utafute takwimu zenyewe kutoka kwa ripoti iliyonukuliwa, ya Knight Frank 2020 Wealth Report. Ila usijisumbue, maanake najua kwa uhakika kwamba zitakunganya zaidi hata ya taarifa hiyo ambayo sio ya kukanganya, kwa mtu aliye elimika.
Hawajazungumzia $Billionaires wametaja Billionaires ambao ni 42 nchini Kenya wakitumia kigezo cha KES 3billion($300million). Kuhusu ongezeko la hao $Millionaires nchini Kenya, hadi 2,900(ongezeko ambalo wanasema ni la 263%) mwaka wa 2020 wanasema ni kutoka mwaka wa 2014, sio 2019. Hebu leta ripoti hiyo ya Knight Frank tuichambue tuone hiyo 2014 walikuwa wangapi nchini Kenya.Kenya haina $ Billionaire hata mmoja, Tanzania yupo mmoja tu, wanaozungumziwa ni $ Millionaires ambapo Kenya wamepungua kwa 496, haiwezikani kwamba idadi yao ipungue wakati huohuo idadi yao iwe inaongezeka kwa kasi, hiyo kwa kimombo ndio inaitwa "Excellent stupidity".
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni billionaire ama ni kusifu za wengine tu?
Wewe ndiye huyo billionaire ama ni maskini tu hapo LDC?Kenya haina $ Billionaire hata mmoja, Tanzania yupo mmoja tu, wanaozungumziwa ni $ Millionaires ambapo Kenya wamepungua kwa 496, haiwezikani kwamba idadi yao ipungue wakati huohuo idadi yao iwe inaongezeka kwa kasi, hiyo kwa kimombo ndio inaitwa "Excellent stupidity".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini Wakenya mnapenda sana kupinga vitu vya wazi kihasi hiki?, soma heading ya hii article Kenya records fastest rising number of dollar millionairesHawajazungumzia $Billionaires wametaja Billionaires ambao ni 42 nchini Kenya wakitumia kigezo cha KES 3billion($300million). Kuhusu ongezeko la hao $Millionaires nchini Kenya, hadi 2,900(ongezeko ambalo wanasema ni la 263%) mwaka wa 2020 wanasema ni kutoka mwaka wa 2014, sio 2019. Hebu leta ripoti hiyo ya Knight Frank tuichambue tuone hiyo 2014 walikuwa wangapi nchini Kenya.
Hiyo aya hapo nimeicopy paste moja kwa moja kutoka kwa taarifa kwenye hiyo link yako. Ina maana kwamba umemalizia tu kwa kichwa cha habari kisha ukaanzisha uzi? πHivi kwanini Wakenya mnapenda sana kupinga vitu vya wazi kihasi hiki?, soma heading ya hii article Kenya records fastest rising number of dollar millionaires
Wapi wamesema ni idadi ya Billionaires in KES?, wao wanazungumzia $Millionaires kwamba inaongezeka kwa kasi kuliko nchi zote, wakati ripoti inaonyesha kwamba imepungua kwa 496. Kitu gani unachojaribu kupinga?
Hahahaha, huyo mwenzenu hataki hata kuamini gazeti la citizen, anasema ni watanzania, japo kampuni lenyewe ni kutoka Kenya, sasa unategemea nini nikitumia magazeti ya Tanzania?, hiyo ndio sababu ninatumia BBC ambalo halina upande wowote, hata hiyo BBC kuna mwenzenu amepinga eti kwasababu ni BBC Kiswahili, hiyo ni dalili ya kutapatapaAlafu mleta mada, vipi kuhusu media za Tz? Naona unatumia BBC kuponda media za Kenya ila hutaji wala kutumia taarifa zozote kutoka kwa media za Tz. Au huko ni umbea umbea tu sio uanahabari? [emoji1]
πππ Pole yako jombaa, rudisha tu popcorn. Huyu mleta mada kama kawa ni jibu tu, sio mtu wa kujadili naye kuhusu jambo lolote lile.Haha!Tz vs Ke at work! Ngoja nikatafute pop corn kabisa...
Wakati ripoti ya Knight Frank inasema tofauti, kwamba idadi ya wakenya wenye kuanzia $1M imeshuka kwa wingi sana, karibia matajiri 500 wa Kenya wenye utajiri kuanzia $1M wameshuka hawapo tena katika kundi la $Millionaires, sasa inakuaje tena idadi ya $Millionaires iongezeke kwa kasi?''The number of billionaires worth over $30 million (Sh3 billion) in the country which currently sits at 42 is on other hand expected to grow to 48 in the next five years.'' Hiyo aya hapo nimeicopy paste moja kwa moja kutoka kwa taarifa kwenye hiyo link yako. Ina maana kwamba umemalizia tu kwa kichwa cha habari kisha ukaanzisha uzi? π
Marekani: Tanzania imekuwa kituo kikuu cha wauzaji wa Madawa ya Kulevya Afrika MasharikiWakati ripoti ya Knight Frank inasema tofauti, kwamba idadi ya wakenya wenye kuanzia $1M imeshuka kwa wingi sana, karibia matajiri 500 wa Kenya wenye utajiri kuanzia $1M wameshuka hawapo tena katika kundi la $Millionaires, sasa inakuaje tena idadi ya $Millionaires iongezeke kwa kasi?
Soma hii ripoti Absa | Mobile Banking
Sent using Jamii Forums mobile app