Hivi ndivyo katika kila group la umri mwafrika anayo chambua sababu za tabu zake

Hivi ndivyo katika kila group la umri mwafrika anayo chambua sababu za tabu zake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
18 - 21= baba na mama

22 - 25= shetani

26 - 30= uchawi na mikosi

30 - 35= bado yupo confused hajaelewa vizuri😁 (uchawi, baba, mama, trump, shetani, kurogwa, etc)

35 - 40= "Mimi mwenyewe ndio nilizingua all along aisee"
 
35-40 ndo pale mtu anapoamua kusema ukweli baada kuwa na visingizio kwa Muda mrefušŸ˜…

Ila Waafrika
 
18 - 21= baba na mama

22 - 25= shetani

26 - 30= uchawi na mikosi

30 - 35= bado yupo confused hajaelewa vizuri😁 (uchawi, baba, mama, trump, shetani, kurogwa, etc)

35 - 40= "Mimi mwenyewe ndio nilizingua all along aisee"
Nawewe kupenda vibabu vya kiyahud umeanza ulipovunja ungo au ulivokubuhu?
 
Back
Top Bottom