Hivi ndivyo katika kila group la umri mwafrika anayo chambua sababu za tabu zake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
18 - 21= baba na mama

22 - 25= shetani

26 - 30= uchawi na mikosi

30 - 35= bado yupo confused hajaelewa vizuri😁 (uchawi, baba, mama, trump, shetani, kurogwa, etc)

35 - 40= "Mimi mwenyewe ndio nilizingua all along aisee"
 
Maisha hayatabiriki kirahisi hivyo
 
35-40 ndo pale mtu anapoamua kusema ukweli baada kuwa na visingizio kwa Muda mrefu😅

Ila Waafrika
 
18 - 21= baba na mama

22 - 25= shetani

26 - 30= uchawi na mikosi

30 - 35= bado yupo confused hajaelewa vizuri😁 (uchawi, baba, mama, trump, shetani, kurogwa, etc)

35 - 40= "Mimi mwenyewe ndio nilizingua all along aisee"
Nawewe kupenda vibabu vya kiyahud umeanza ulipovunja ungo au ulivokubuhu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…