Hivi ndivyo marafiki zako watamfariji mkeo, siku ya msiba wako.

Sasa tatizo liko wapi?
Unataka uzikwe naye akiwa hai ili asipewe faraja?
 
Kuna red flag ukiziona Unatakiwa uumpe wife uhuru

Vile unampa talaka halafu unaishi kama ghost anayepumua😎

Ukijua patern za dunia hii huteseki🤭
 
Si Bora unakuwa umekufa Kuna Ile uko hai na anafarijiwa kazini 😂muulize jamaa wa bunju
 
Haya Mambo Oops
Acha Yaende Hivyo Hivyo
Unaweza Kupasuka Mishipa Ya Mwili Na Bado Waungwana Watakucheka Kwa Ujinga
 
Kutorombewa huwa ni torati!, hata ungekuwa na dhakari ya dhahabu! Ama ndefu kama ya mfalme suleimani ama ndefu kama ya Goliati

Utachapiwa tu! Ukiwa hai ama ukiwa kaburini!
Kuchapiwa kuko palepale!
Sona mkeo kuna wana wanaCHAPA wanalamba sukari😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…