Hivi ndivyo matumaini alivyopokelewa jijini dar

Hivi ndivyo matumaini alivyopokelewa jijini dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[h=3][/h]







1.jpg
Matumaini (katikati) akisaidiwa na wasanii wenzake muda mfupi baada ya kutua.

2.jpg
Bi. Mwenda akiwa amembeba Matumaini mgongoni.

3.jpg
Matumaini (kulia) akiwa na Bi. Mwenda (wa pili kushoto) na anayefuata (kushoto) ni msanii mwenzake Kiwewe wakisubiri gari la kumpeleka hospitali.

4.jpg
Askari wakiwaelekeza wasanii kukaa upande mmoja ili apate hewa.

5.jpg
Matumaini akiwa amebebwa mgongoni na msanii mwenzake, Mariam Athuman ‘Kalunde’ akimpeleka kwenye gari.

6.jpg
Mama mkubwa wa Matumaini, Bi. Elizabeth (kushoto) na Matumaini (katikati) wakiwa ndani ya gari tayari kuelekea hospitali ya Amana.

7.jpg
Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba akizungumza na wasanii maeneo ya Amana wakati Matumaini akiwa kwa daktari.
-----------
MSANII wa vichekesho ambaye alikuwa nchini Msumbiji, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ jana alipokelewa na wasanii wenzake kibao baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar akiwa hoi kutokana na kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Matumaini alitua uwanjani hapo jana majira ya saa 9:30 alasiri ambapo kutokana na hali yake kuwa mbaya wasanii walimbeba mgongoni na kumfikisha kwenye gari ambapo walimpeleka moja kwa moja hospitali ya Amana alikolazwa mpaka sasa akiendelea kupatiwa matibabu.

 
Mwenyezi Mungu amuwezeshe,apone haraka,arejee kwenye majukumu yake.
 
Pole sana....uwanja wa ndege hauna wheelchair
 
Back
Top Bottom