Hivi ndivyo Mo Dewji atakavyoipiga chenga ya mwili Serikali 49%/51%

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
mchakato wa klabu ya simba kuendeshwa kupitia umiliki wa hisa unaelekea ukingoni.
na mwanahisa aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kumiliki hisa zaidi ya 50% alipata pingamizi kutoka serikalini na akawekewa sharti lazima achukue 49%t tu!....

mwanzoni alitaka kugoma lakini km mnavyojua hawa wenzetu wanaorun biashara za mabilion huwa wana solution ya kila kikwazo kinachokuja mbele yao!
.
swali ni je? mbinu atayoitumia mo! ili apate umiliki wa zaidi ya 50% mbinu yenyewe ni hii hapa

baada ya mo kupewa 49% ya hisa mchakato wa kuuza hisa nyingine utaendelea ambapo wanachama wa simba watapewa hisa asilimia 20 na hisa asilimia 31 ambazo zitakuwa loose kwa mtu yoyote kununua na hpa ndipo gape lilipo ......

mo kwa kumtumia mtu wake wa karibu ambaye atanunua hisa zisizozidi asilimia 5 tu! ambapo yeye na mtu wake kwa pamoja watakuwa na hisa 54%ambazo zitawafanya wawe na final say kwenye klabu na lengo lake la kuimiliku simba kwa zaid ya 50% litakuwa limetimia,
 
Labda kama ana hamu ya kwenda lupango. Yaani unachezea sharubu za jiwe hivihivi
 
saivi simba ni ya jiwe na bashite director wao msemaji wa club
 
Kweli Mikia imekuwa timu ya chama ikiongozwa na DAB.

Daaah !!!!
 
hahahahahahahaaa.... na timu ya kanji bai pale jangwani vipi? baada ya kutoka lupango hasikiki wala hajulikani kama yupo mji huu...

na naona jerry ana jisogeza sogeza simba
 
Ngoja huyo akanunue hizo hisa za asilimia 5 ili TRA na TAKUKURU waingie kazini kumchunguza.
 
Ngoja huyo akanunue hizo hisa za asilimia 5 ili TRA na TAKUKURU waingie kazini kumchunguza.

kuna vitu vingine kisheria ni ngumu sana kumtia mtu hatiani

sasa hisa zina majina mawili tofauti unaanza vp kukamata mtu na kumshtaki
 
Wakiamua wanaweza. Huyu mnunuzi labda mtu well established kwenye biashara na mlipa kodi mzuri asiye na shaka. Nadhani umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…