mchakato wa klabu ya simba kuendeshwa kupitia umiliki wa hisa unaelekea ukingoni.
na mwanahisa aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kumiliki hisa zaidi ya 50% alipata pingamizi kutoka serikalini na akawekewa sharti lazima achukue 49%t tu!....
mwanzoni alitaka kugoma lakini km mnavyojua hawa wenzetu wanaorun biashara za mabilion huwa wana solution ya kila kikwazo kinachokuja mbele yao!
.
swali ni je? mbinu atayoitumia mo! ili apate umiliki wa zaidi ya 50% mbinu yenyewe ni hii hapa
baada ya mo kupewa 49% ya hisa mchakato wa kuuza hisa nyingine utaendelea ambapo wanachama wa simba watapewa hisa asilimia 20 na hisa asilimia 31 ambazo zitakuwa loose kwa mtu yoyote kununua na hpa ndipo gape lilipo ......
mo kwa kumtumia mtu wake wa karibu ambaye atanunua hisa zisizozidi asilimia 5 tu! ambapo yeye na mtu wake kwa pamoja watakuwa na hisa 54%ambazo zitawafanya wawe na final say kwenye klabu na lengo lake la kuimiliku simba kwa zaid ya 50% litakuwa limetimia,