Hivi ndivyo movie ya Wema na Diamond inavyoendelea

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



The hottest & most loveable couple in Bongo
Super cute
Tuwache walaleeeeeee
Love is a beautiful thing
 
hayo madini hapo kati balaa.......

wamependeza hasa hiyo pic ya pili na ya 3 nimependa
 
Namuomba Allah niwe hai nionege mwisho wa Wema
 
Yaani leo ndo nimeelewa outro za my number 1(na watuache tulale) na my number one remix(wacha movie iendelee)
 
Ningekuwa karibu na huyu dogo ningemshauri avae cheni moja tu ya ukweli, otherwise hata avae micheni mia moja shingoni kama Mr T mnyamwezi mimi nitamuona zuzu tu kama ninavyowaona washamba wamarekani wanaojaza micheni shingoni
 
sijaelewa diamond nae mjamzito ama?

Kabanga ameuliza " je ni kweli hao ni wajawazito " nikamjibu ndio ni kweli wajawazito.

Siku hiz tunajibu maswali kulingana na swali lenyewe. Yeye si ameona wote wajawazito
 
kama kuna couple naipenda ni Wema na Diamond. Wanapendezana sana. Hope kuna siku mungu atawasimamia waache drama na kufanya kweli.
 
kama kuna couple naipenda
ni Wema na Diamond. Wanapendezana sana. Hope kuna siku mungu
atawasimamia waache drama na kufanya kweli.

Ishallah,nami nawapenda sana tulien basi,mmalizie kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…