Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo madini hapo kati balaa.......
wamependeza hasa hiyo pic ya pili na ya 3 nimependa
je ni kweli hawa ni wajawazito...
Ni kweli hao wote wajawazito
Ni kweli hao wote wajawazito
Namuomba Allah niwe hai nionege mwisho wa Wema
sijaelewa diamond nae mjamzito ama?
ungeiponda ningeshangaa sana
je ni kweli hawa ni wajawazito...
kama kuna couple naipenda
ni Wema na Diamond. Wanapendezana sana. Hope kuna siku mungu
atawasimamia waache drama na kufanya kweli.
.
Daaaaaa nyie JF